Pa-Paa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 916
- 1,363
Si kahawa tu, Hiyo kipato ya mazao yooote kwa mwaka mzima hayakidhi hata Bajeti ya vitafunwa vya Wabunge wake.
Sio rahisi hivyo au alikua anazingumza na Wamama wa Vikoba maana niliona video mwenzao mmoja anawamotivate ati alikua anasafirisha order za mchicha mpaka Ulaya anapigiwa simu tu.
#Wajinga ndio waliwao.