Rais Samia: Fedha za Mauzo ya Mazao ya Kilimo Kama Kahawa Zitatusaidia Kuondoa Utegemezi wa Mikopo Yenye Masharti Kutoka Nje.

Andika kitu chenye maana na kinachoeleweka badala ya hizi pumba
Chuma process!Teka Teka,us ua,poteza poteza kabla ya uchaguzi!halafu akishashinda Kwa kwa data kabla hajakaa saw sawa !makam anaula !

Process no Ile ile wenye akili wamesoma mchezo!

Labda ashtuke asigombee!
 
Kwa uwkezaji upi unaofanya serikali kwa wakulima ili tuuze hayo mazao? Mkulima anahangaika yeye alaf mazao anapangiwa bei na serikali!!
 
Hata Obama alishauri alipokuja bongo kwamba ni muda wa kufanya biashara sisi kwa sisi na sio kutegemea kufanya biashara zisizo na haki na wazungu.

Kujenga hizi reli za SGR na TAZARA kisasa, lengo ni kukuza biashara ya ndani ya ukanda huu.
 
Una ujinga mwingi sana wewr nenda Kilimanjaro na Arusha uone kilimo cha kahawa kinavyo kufa,
 
Hizo bei za Commodities zinapangwa wapi na kina nani ni main players ?

Ili kuondokana na hii marginalization inabidi a complete overhaul na kama waafrika kwa pamoja tuweze kusaidiana; haya mambo ya kutegemea hamu ya mtu wa ughaibuni anunue ili ndio mkono uende kinywani (mfano korosho) utadhani sisi tuna allergy na vitu vitamu tutaendelea kuwa a Second fiddle till Kingdom Come...

 
Safari hii wataisoma namba. Mikahawa imekauka, serikali haina mpango wa irrigation. Mawaziri wa Karagwe na Kyerwa hawana msaada kwa mkulima.
 
Kama tutalima Arabica kwa wingi kama Ethiopia labda tunaweza kupunguza mikopo ila sio kwa hela ndogo hizo
Lazima tulime kahawa yenye soko zuri duniani sio hizi Instant coffee tunazokunywa Costa au Starbucks
Ethiopia zao la kahawa linawaingizia $1.55b halafu sisi wenye rutuba na ardhi kubwa bila hata vita tunatamba kwa $150m
Kweli jamani hawa viongozi wanatuonaje
 
Una ujinga mwingi sana wewr nenda Kilimanjaro na Arusha uone kilimo cha kahawa kinavyo kufa,
Mjinga ni wewe,kahawa ingekufa Kagera wangekuwa wa kwanza Kung'oa miti.

Mwisho kama umetelekezw shamba ulitaka lisife,life kabisa Ili ukawe mpiga debe bwege wewe.
 
Safari hii wataisoma namba. Mikahawa imekauka, serikali haina mpango wa irrigation. Mawaziri wa Karagwe na Kyerwa hawana msaada kwa mkulima.
Wapi huko? Serikali ndio imeleta Ukame? Miaka mingine mlikuwa mnafanya irrigation?
 
Ccm ndio imeua zao la kahawa tz asiongee kuhadaa watu!
 
Kagera wanalima sana maana hata Uganda ndio zao lao kuu
 
Kagera wanalima sana maana hata Uganda ndio zao lao kuu
Uganda mkuu wanalima Robusta ambayo ni nzito na kali
Ila Arabica ile aroma yake ndio inaifanya iwe more expensive na ladha yake pia ni tofauti kabisa na Robusta hiyo wanayolima Uganda
Kama tunalima Arabica basi hilo ndio zao la kujikita zaidi maana lina thamani sana
 
Maccm yanakataza Kagera kuuza kahawa Uganda bei ni kubwa yanataka wauze Kwa wahuni waliowaleta Ili wapeane cha juu! Pumbavu sana!
Hakuna mtu amekatazwa Bali wafuate utaratibu,mbona bei zikiporomoka Huwa mnakimbilia huko huko Kulalamikia Kwa ma ccm? Acha uboya mwaka huu bei imevunja rekodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…