Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ilifanyika hii lakini mwisho wa siku vilikufa kabisa tena kifo kibaya maana wawekezaji waliovichukua walivitumia kuchukuliwa mikopo bank na kwenda kuanzisha biashara nyingine.Japo binafsi ningependa viwanda vifufuliwe. Lakini siafiki serikali kuviendesha. Labda vifufuliwe na watu binafsi na serikali iwe na hisa walau 30%, nyingine say 40% iwe public na 30 %iwe ya mwekezaji. Serikali ikivifufua hivi viwanda na kuviendesha vitakufa tena.
Ili visife ni muhimu kuwe na uwazi kwenye uendeshaji. Na uwazi utapatikana kwa hivi viwanda kumilikiwa na public kwa % fulani kama ilivyo Twiga, MCC, Tanga Cement, NMB au TBL. Serikali isiachie sekta binafsi kwa 100% kwa sababu wanacollude na kupanga bei kama ilivyo kwenye viwanda vya chuma hapa nchini kwa sasa.Ilifanyika hii lakini mwisho wa siku vilikufa kabisa tena kifo kibaya maana wawekezaji waliovichukua walivitumia kuchukuliwa mikopo bank na kwenda kuanzisha biashara nyingine.
Serikali kufanya yenyewe nayo ni ngumu kutokana na tabia za watendaji, Ila pia serikali kubinafsisha kwa mwekezaji naho ndio hasara kabisa.
Serikali iweke mazingira mazuri mwekezaji ajenge kiwanda chake Kama ilivyo kwa Dangote, Mo, SSB na wengine. Wakijenga kwa nguvu zao huwa wanakuwa na uchungu
Bro sio kufufua ni kukijenga upyaMwalimu Nyerere aliona mbali sana baada ya kujia kuwa nchi yya Tanzania ni ya Wakulima na Wafanya kazi.
Kati ya viwanda vingi alijenga ni kile cha Tanga Fertirlizer Company iliyokuwa inatengeneza mbolea ya NPK na nyingine kama sikosei.
Wajanja wakakiuza na hata ukigoogle leo hakipo kwenye uhai wowote.
Ni ajabu tunasheherekea siku ya wakulima Nanenane lakini kiwanda pekee cha mbolea ni kile cha Minjingu.
Mama Samia ukitaka kukukmbukwa na wakulima, tembea mwendo wa Mwalimu na kufufua kiwanda cha Mbolea Tanga.
Ni kweli kabisa.Bro sio kufufua ni kukijenga upya
Afufue kiwanda kwa hela za serikali?Mwalimu Nyerere aliona mbali sana baada ya kujua kuwa nchi hii ya Tanzania ni ya Wakulima na Wafanya kazi.
Kati ya viwanda vingi alijenga ni kile cha Tanga Fertirlizer Company iliyokuwa inatengeneza mbolea ya NPK na nyingine kama sikosei.
Wajanja wakakiuza na hata ukigoogle leo hakipo kwenye uhai wowote.
Ni ajabu tunasheherekea siku ya wakulima Nanenane lakini kiwanda pekee cha mbolea ni kile cha Minjingu.
Mama Samia ukitaka kukukmbukwa na wakulima, tembea mwendo wa Mwalimu na kufufua kiwanda cha Mbolea Tanga.
Hii ndio mijadala na sioIlifanyika hii lakini mwisho wa siku vilikufa kabisa tena kifo kibaya maana wawekezaji waliovichukua walivitumia kuchukuliwa mikopo bank na kwenda kuanzisha biashara nyingine.
Serikali kufanya yenyewe nayo ni ngumu kutokana na tabia za watendaji, Ila pia serikali kubinafsisha kwa mwekezaji naho ndio hasara kabisa.
Serikali iweke mazingira mazuri mwekezaji ajenge kiwanda chake Kama ilivyo kwa Dangote, Mo, SSB na wengine. Wakijenga kwa nguvu zao huwa wanakuwa na uchungu
That is not thinking out of the box.Afufue kiwanda kwa hela za serikali?
Kama ni hela za serikali,does it make any economic sense?
Hao walioacha kuna business reason for that,what is it?
Hiyo hea ya subsidy si ni ya serikali, yaani kodi zetu?
Resolve it then ndio ufirikirie kuweka hela za kodi humo na kifanye kazi kweli kwa faida....
Viwanda haviachwi hivi hivi tu eti vife for the sake of it....kuna economic reason kinaleta hasara,who wants that nonsense?
Kama serikali inapenda kuweka hela mahali ipate hasara kama kipindi cha Magufuli then sawa...kapotezeni hizo hela aje afe kwa pressure tuzike kama jamaa yake Jiwe!
BroThat is not thinking out of the box.
Mbolea karibu yote sasa hivi inatoka Ukraine au Urusi.
Some issues are a matter of srvival and not only economics.
What economic sense is there sasa hivi serikali ina subsidise bei ya mbolea?
Its your butt needs some sounding and its passing shit the wrong way.Bro
Use your ugly butt to think correctly...huwezi niuzia 1 bag of fertilizer three times the price I can buy the same 1 bag from Ukraine!
Can never make any economic sense...na ni useless!
Eti ujenge mfuko wa mbolea Tanga 3X price ya mfuko huo huo ukiletwa kutoka nje....ni heri kiwanda kifungwe.....acha ujinga
Mimi mkulima ninunue kwa bei kubwa eti kwa sababu wewe mama Samia umejenga hicho kiwanda?For what hasa?
Shut it down,it is economically a pile of losses!
Raskazone kwa wakubwa !!Mwalimu Nyerere aliona mbali sana baada ya kujua kuwa nchi hii ya Tanzania ni ya Wakulima na Wafanya kazi.
Kati ya viwanda vingi alijenga ni kile cha Tanga Fertirlizer Company iliyokuwa inatengeneza mbolea ya NPK na nyingine kama sikosei.
Wajanja wakakiuza na hata ukigoogle leo hakipo kwenye uhai wowote.
Ni ajabu tunasheherekea siku ya wakulima Nanenane lakini kiwanda pekee cha mbolea ni kile cha Minjingu.
Mama Samia ukitaka kukukmbukwa na wakulima, tembea mwendo wa Mwalimu na kufufua kiwanda cha Mbolea Tanga.
Yes!Raskazone kwa wakubwa !!
Nilikiona miaka ile na kilikuwa kikitoa harufu kali nadhani kilikuwa kinawakera watu wa Raskazone !!Yes!
Kiwanda kilikuwa Raskazone, Tanga mjini.
Position ya kiwanda kile haikuwa nzuri.Nilikiona miaka ile na kilikuwa kikitoa harufu kali nadhani kilikuwa kinawakera watu wa Raskazone !!