GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mtu anapata 'Doctorate' yake baada ya Miaka 5 au 6 tena kwa 'Kuungaunga' unadhani 'Kichwani' kutakuwa na Madini Kweli?Mwigulu ni takataka kabisa wizara ya fedha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu anapata 'Doctorate' yake baada ya Miaka 5 au 6 tena kwa 'Kuungaunga' unadhani 'Kichwani' kutakuwa na Madini Kweli?Mwigulu ni takataka kabisa wizara ya fedha
Ameshakariri kuwa ni lazima atoke Uchagani au Upareni huku akisahau kuwa Tanzania imeshawahi kuwa na Mawaziri wazuri sana wa Fedha wasiotokea huo Mkoa wao wa Kilimanjaro ( Moshi )Ulitaka atokee mkoa gani mkuu? Kwani Singida hakuna wachumi. Acha ubaguzi. Hii ni nchi yetu sote
Wakati Fulani tuwe tuna lalamika kwa fact Waziri was Fedha n ngumu Sana kudhibiti huo utumbuaji unaofanyika mwisho wa Mwaka ...kumbuka hizo Semina na vikao vilitengwa Bajeti ya 2020/21 ...Sasa atakwendaje Afya,Kilimo,Viwanda ,Madini,Ujenzi nk kuthibiti!Jamani tangu lini waziri wa Fedha anatokea mkoa wa singida? Bado mtaona vituko. Anaiba fedha aje agombee urais kupitia CCM
Umeonaee, hii nchi ukijitia kiwa Mzalendo utaambulia vidonda vya tumbo tena vibichi na vile vya pembezoni ya mdomo vikiwa vikabu.Kaamua kuwarejeshea tabasamu. Wamemuelewa sana.
Tatizo nini!!! Zikinwagika si ndiyo wewe na mimi tutfikuwa pia au? Naomba ukubwa wa bomba uongezeke tupatwe na mafuriko huku. Tumeteseka sana kuishi kama shetani kwa matakwa ya mwendazake. Ma wewe acha wivu na roho mbaya. Mama miminaaaa eh miminaaaaaa!!!! Sasa hivi watu tunapeana pole hata kwa buku, chupa1, bohora 1, chibuku 1, mkebe1 nk. Na hali maisha inaboreka kila.siku, watu kwa sasa wanaaza kucheka na kuondoa makunyanzi usoni. Mama endelea mpaka wenye wivu wazimie.wamefungulia hela kama bomba la mvua,zinamwagika tu waaaaaaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahahahaha Mwinamila duh! Au Mwishutamila, Mwikanula, Mwitayo..Wakati Fulani tuwe tuna lalamika kwa fact Waziri was Fedha n ngumu Sana kudhibiti huo utumbuaji unaofanyika mwisho wa Mwaka ...kumbuka hizo Semina na vikao vilitengwa Bajeti ya 2020/21 ...Sasa atakwendaje Afya,Kilimo,Viwanda ,Madini,Ujenzi nk kuthibiti!
Mwigulu anaweza kuwa bogus ...lakini hili tatizo no kubwa kuliko tunavyoliona ..!
Hakuna njia ya mkato zaidi ya kufanya overhauling ya uendeshaji wa nchi na Sisi Wakulima ,Wafanykazi ,Warina Asali na Waokota Makopo tuwe na Mamlaka!
Otherwise atakuja Mwigulu,Mwinduda,Mwinyibweni,Mwinuka,Mwinamila ...tutarndelea kulalamika ....Mara Hamad Yesu karudi!
Na watu wa huu ni wezi na matapeli, wakabila wanasifa zote mbayaAmeshakariri kuwa ni lazima atoke Uchagani au Upareni huku akisahau kuwa Tanzania imeshawahi kuwa na Mawaziri wazuri sana wa Fedha wasiotokea huo Mkoa wao wa Kilimanjaro ( Moshi )
Ahahahaha Mwinamila duh! Au Mwishutamila, Mwikanula, Mwitayo..Wakati Fulani tuwe tuna lalamika kwa fact Waziri was Fedha n ngumu Sana kudhibiti huo utumbuaji unaofanyika mwisho wa Mwaka ...kumbuka hizo Semina na vikao vilitengwa Bajeti ya 2020/21 ...Sasa atakwendaje Afya,Kilimo,Viwanda ,Madini,Ujenzi nk kuthibiti!
Mwigulu anaweza kuwa bogus ...lakini hili tatizo no kubwa kuliko tunavyoliona ..!
Hakuna njia ya mkato zaidi ya kufanya overhauling ya uendeshaji wa nchi na Sisi Wakulima ,Wafanykazi ,Warina Asali na Waokota Makopo tuwe na Mamlaka!
Otherwise atakuja Mwigulu,Mwinduda,Mwinyibweni,Mwinuka,Mwinamila ...tutarndelea kulalamika ....Mara Hamad Yesu karudi!
Sasa haya mambo ya ukabila yanatokea wapi mkuu..umejuaje kwamba aliyeuliza ni bwashee...Tena kama sijakosea huyo Mwigulu kachukua jiko huko kwao...akina bwashee wanamkubali..(haya mengine Ni majungu na chuki binafsi)Ameshakariri kuwa ni lazima atoke Uchagani au Upareni huku akisahau kuwa Tanzania imeshawahi kuwa na Mawaziri wazuri sana wa Fedha wasiotokea huo Mkoa wao wa Kilimanjaro ( Moshi )
wakiwa Dar hawalipwi,inabidi wasafiri walipwe 100k kwa siku 🤣🤣🤣Baraza la wafanyakazi Muhimbili eti walienda kufanyia kikao chao Morogoro wakati Dar es Salaama kuna kumbi lukuki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1826137

🤣🤣Hao ndio local investors mkuu,
Wanasaidia kuchangamsha uchumi,
Huo sio ufisadi,
Ufisadi ulikua awamu ya Tano tu refer ropoti ya CAG.
Ripoti ya CAG ijayo hutasikia mambo kama haya.
Dadekiii,nchi inaliwa banaaaa.Baraza la wafanyakazi Muhimbili eti walienda kufanyia kikao chao Morogoro wakati Dar es Salaama kuna kumbi lukuki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1826137
Hapo wanasubiri muda uende tu wala hawana wanachoskiliza,ukinyoosha mkono unaweza shushwa KWA mambata.Baraza la wafanyakazi Muhimbili eti walienda kufanyia kikao chao Morogoro wakati Dar es Salaama kuna kumbi lukuki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1826137
Acha walete pesa mtaani tunazihitaji sanaMhe Rais nadhani huu Ni muda sahihi wakujua ni mteule yupi uliyemteua anaishi fikra zako na yupi anaishi fikra za tumbo lake na familia yake. Watumishi wachache wa Umma wamegawana kumbi za Serikali na hoteli kwa vikao ambavyo sidhani Kama vina tija.
Mhe. Wazir Mkuu alitumbua watendaji wa wizara ya fedha kwa kujilipa mamolioni ya fedha. Watu wamemdharau na Leo hii wizara na idara za serikali ambazo zote zipo Dodoma wamehamia mikoani kufanya vikao.
Fedha hii wanayogawana ingesambazwa kwenye huduma lipo Jambo ungetatua.
Nikuombe bila kutumbua omba taarifa ya kila wizara wamefanya vikao vya kazi au semina ngapi kwa mei na Juni na majina ya washiriki. Utagundua wapo watu wamelipwa mara tatu kwa siku zilezile na wapo dodoma ila Wana malipo ya safari nie ya Dodoma. Waidhinishaji wa fedha hizi ni wateule wako.
Je, wamekuelewa unataka Nini?
Umofia kwenu