Wakati Fulani tuwe tuna lalamika kwa fact Waziri was Fedha n ngumu Sana kudhibiti huo utumbuaji unaofanyika mwisho wa Mwaka ...kumbuka hizo Semina na vikao vilitengwa Bajeti ya 2020/21 ...Sasa atakwendaje Afya,Kilimo,Viwanda ,Madini,Ujenzi nk kuthibiti!
Mwigulu anaweza kuwa bogus ...lakini hili tatizo no kubwa kuliko tunavyoliona ..!
Hakuna njia ya mkato zaidi ya kufanya overhauling ya uendeshaji wa nchi na Sisi Wakulima ,Wafanykazi ,Warina Asali na Waokota Makopo tuwe na Mamlaka!
Otherwise atakuja Mwigulu,Mwinduda,Mwinyibweni,Mwinuka,Mwinamila ...tutarndelea kulalamika ....Mara Hamad Yesu karudi!