Rais Samia, funga mwaka iliyofanywa Serikalini ni balaa

Halafu jana tu nimewashushia mzigo, natafakari kama kuna huo umuhimu wa kulipa kodi kama zilizokusanywa zinatumika vibaya.
 
Mkuu ninachokiona hapa Ni kwamba watu wengi hawajui namna serikali inavyofqnya kazi. Wanadhani Mwigulu kwa kuwa ni waziri wa fedha ameshikilia fuko la hela, halafu kila asubuhi anagawia kila wizara na idara kama afanyavyo baba kwa watoto wake.
 
Halafu jana tu nimewashushia mzigo, natafakari kama kuna huo umuhimu wa kulipa kodi kama zilizokusanywa zinatumika vibaya.
Fedha tunatoa KWA maendeleo wao wanabudi mbinu za kubunya,Wacha watu wabuni njia za ukwepaji kodi tu
 
Acha watu wafanye matumizi na sisi makapuku zitukute maana hela ilikua imekaliwa tu huko haizunguki,mahotel yanalipwa wanakuja kwetu kununua kuku na michele maisha yanaendelea
 
Ulitaka atokee mkoa gani mkuu? Kwani Singida hakuna wachumi. Acha ubaguzi. Hii ni nchi yetu sote
Shida sio kusomea uchumi, shida ni kutafsiri uchumi. 2025 huyo jamaa atakuwa singida akichora mawe kuandika jina lake kujitangaza anangombea urais
 
Nikikumbuka ile tilion 1.5 ilivyopotea bila maelezo roho inaniuma sana.
 
Mwigulu ni takataka kabisa wizara ya fedha
Ni kweli kabisa mwigulu ni mtia hasara wa Taifa letu kwa sasa, Haiwezekani uwe waziri wa wizara fulani, halafu huwezi kuchukua hatua panapotokea ufujaji wa fedha za walipa kodi

Uibwaji wa fedha ktk wizara husika, Waziri anaposhindwa kuona viashilia vya wizi, hadi aje Waziri mkuu ndiye aone wizi huo, Ni ushahidi tosha kwamba, Waziri huyo hafai

Sijajua ni kwa nini tumekuwa na Taifa la kubembelezana utadhani ni taifa lenye upungufu wa wasomi,

Nilishawahi kuleta uzi hapa unaozungumzia ufujaji wa fedha na madhara yake kuonekana kwa wananchi walioko chini, Huduma za afya haziwezi kuwa bora kwao n.k

Haiwezekani mtu mmoja ndani ya watu M.60 asababishe matatizo kwa watu wooote wale,

Pesa zinapigwa, yeye yupo ofisini, Wa nini huyo mtu?

Enyi CCM, kwa nini mnatufanyia hivi wananchi? chama chenu hakina mtu zaidi ya waziri huyo wa fedha?

Mnamipango miiingi na miradi mingine mnaiacha kuitekereza kwa sababu ya upungufu wa fedha, Lakini kwa nini pesa zingine zinapotelea njiani?
 
Ofisi yetu kuna semina ya wagavi na wahasibu nchi mzima wamekutanaa Morogoro kwa wiki 2 mfululizo.
Kudadeki sisi tusio wahasibu tunalishwa vumbi la mafile maofisini.
Ukija hapa fille lako kama halipo ujue limefichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…