Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
WanTamRais Samia wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu amesema ni lazima maendeleo yetu tujizatiti wenyewe.
Halmashauri zote zijitahidi katika makusanyo mapato, kwa upande wa TRA wanajitahidi sana lakini kwa Halmashauri mnakula nyingi mnaleta kidogo, niwaombe sana mjizatiti katika makusanyo ili maendeleo yaendele kama tulivyoyapeleka katika miaka hii mitano
Unawaomba????!!!!Rais Samia wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu amesema ni lazima maendeleo yetu tujizatiti wenyewe.
Halmashauri zote zijitahidi katika makusanyo mapato, kwa upande wa TRA wanajitahidi sana lakini kwa Halmashauri mnakula nyingi mnaleta kidogo, niwaombe sana mjizatiti katika makusanyo ili maendeleo yaendele kama tulivyoyapeleka katika miaka hii mitano
Ndiyo maana mafisadi yanapiga pesa vizuri yanamwandalia maigizo tupuNdio kamaliza hivyo!
Inasikitisha sana😂😂😂😂😂 ...jaman halmashaur mnaombwa msile hela nyingi za umma ...kuleni kidogo