Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
๐๐๐๐๐๐๐ngoja kampeni zianze, watampiga spana huyu mpaka aombe poo.Ndio kamaliza hivyo!
๐๐๐๐๐๐๐ngoja kampeni zianze, watampiga spana huyu mpaka aombe poo.Ndio kamaliza hivyo!
๐๐๐๐๐๐๐Waitโฆ..kwa hiyo anataka wawe wanakula kidogo halafu wanaleta nyingi?
Waitโฆ..kwa hiyo anataka wawe wanakula kidogo halafu wanaleta nyingi?
Ndoto hizo Mshana, kwa uchaguzi huu wa Tume hii, yenye sheria hizi-hizi, na wajumbe hawahawa? Endeleeni kuota.WanTam
OKTOBA TUNA โ๏ธRais Samia wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu amesema ni lazima maendeleo yetu tujizatiti wenyewe.
Halmashauri zote zijitahidi katika makusanyo mapato, kwa upande wa TRA wanajitahidi sana lakini kwa Halmashauri mnakula nyingi mnaleta kidogo, niwaombe sana mjizatiti katika makusanyo ili maendeleo yaendele kama tulivyoyapeleka katika miaka hii mitano
Rais Samia wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu amesema ni lazima maendeleo yetu tujizatiti wenyewe.
Halmashauri zote zijitahidi katika makusanyo mapato, kwa upande wa TRA wanajitahidi sana lakini kwa Halmashauri mnakula nyingi mnaleta kidogo, niwaombe sana mjizatiti katika makusanyo ili maendeleo yaendele kama tulivyoyapeleka katika miaka hii mitano
Apigwe spana na Nani wakati wote kuna ZUIO LA MAHAKAMA, shame!๐๐๐๐๐๐๐ngoja kampeni zianze, watampiga spana huyu mpaka aombe poo.
Hawez sema maana yeye pia mwiziRaisi alipaswa kutamka serikali imechukua hatua zipi hadi sasa (kuanzia ile ya kusema kila mtu ale kwa kamba yake) kuhakikisha mianya ya wizi kwenye halmashauri yazuiwa?
siyo wawajibishwe, bali wale lakini walete pia nyingiRais Samia wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu amesema ni lazima maendeleo yetu tujizatiti wenyewe.
Halmashauri zote zijitahidi katika makusanyo mapato, kwa upande wa TRA wanajitahidi sana lakini kwa Halmashauri mnakula nyingi mnaleta kidogo, niwaombe sana mjizatiti katika makusanyo ili maendeleo yaendele kama tulivyoyapeleka katika miaka hii mitano
Hilo nalo wakalitazame.๐๐๐๐๐ ...jaman halmashaur mnaombwa msile hela nyingi za umma ...kuleni kidogo