PreGE2025 Rais Samia: Halmashauri mnakula nyingi mnaleta kidogo, niwaombe sana mjizatiti katika makusanyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ila rais wetu dah ... Acha nikae kimya
 
Halmashauri nyingi kuna ufisadi, hawatakiwi kuombwa, wanatakiwa walazimishwe.

Vv
 
OKTOBA TUNA βœ”οΈ
 
Raisi alipaswa kutamka serikali imechukua hatua zipi hadi sasa (kuanzia ile ya kusema kila mtu ale kwa kamba yake) kuhakikisha mianya ya wizi kwenye halmashauri yazuiwa?
 
jamani hii nchi Imerogwa na nani?? Mlishaambiwa mama hasitahili kupewa madaraka makubwa
 
 
siyo wawajibishwe, bali wale lakini walete pia nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…