Rais Samia hana exposure

Nadhani Rais SSH alidhani anaongea na S. Kikeke kumbe ni BBC! Kwahiyo dunia nzima iimemsikia akisema USA hawawafanyi siasa baada ya uchaguzi.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Kuwa mwanasiasa ni kung'ang'ania madaraka? Ametupwa yes lakini bado ana harakati zake za siasa hakuna anayekamata kamata na mikutano yake ina nyomi kawaida
Trump kichaa wewe , anayoyafanya sasa hayahesabiki , ni kama chizi anachezacheza tu, kumtilia maanani chizi ! Loh!
 
Tatizo la kupenda kuongea sana hasa baada ya kuhisi kuwa unapendwa kuliko mtangulizi wako.
 
Macho malegevu
 
Sema ukweli hana uwezo hata wakua katibu kata,mpka kufika kua makamu ni kubebwa na chama kilichojaza wajinga
 
acheni kuuzunguka mbuyu, mwambieni tu ukweli. Anapwaya sana kuwa rais wa nchi yetu ..full stop.
 
Trump kichaa wewe , anayoyafanya sasa hayahesabiki , ni kama chizi anachezacheza tu, kumtilia maanani chizi ! Loh!
Kwani huku wanashindwaje kuwachukulia wanasiasa kama machizi tu na vikao vyao serikali ikiendelea na mambo yake? Mbona mara nyingi wanawakamata wakiwa na vikao vyao tu wametulia hawana silaha, hawajapigana na mtu,
 
Utamchukuliaje mtu mbae sio chizi awe chizi? Arusha umesahau kipindi kile mabomu!!,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…