Rais Samia hana exposure

Rais Samia hana exposure

Na hayo maneno alikua anayasemaga Sana Mwendazake, amewakaririsha CCM nao wanayarudia kila siku.

Sasa Mwendazake na kujua global issues wapi na wapi.

Ni wajinga sana hawa watu yaani wanataka tufuate wanayotaka wao kijinga na si katiba inatakaje. Kwamba uchaguzi ukiisha vyama vya siasa vngine vyooote viache kazi ya siasa CCM peke yake ndiyo ifanye siasa vingine vifanye kazi gani na ni vyama vya siasa?

Ok labda hilo ndilo mnalolitaka na nyinyi ndiyo wenye nchi zaidi sisi wengine hatuna haki basi anzieni kwenye katiba? Si mko peke yenu bungeni badilisheni katiba iendane na mnayoyataka tujue moja na si huu utopolo mnalotueleza unaopingana na katiba mliyoapa kuulinda.
 
Nakariri tu post kuwa hakuna mikutano isipokuwa ya kudai umeme ukikatika, sasa kudai tume huru na katiba mpya baada ya uchaguzi kuna shida gani!
 
Tunaisha na madhila ya uamuzi wa Nyerere kutu hook up na kale kakisiwa.

Nyerere alipokuwa akibanwa maswali kuhusu mantiki za kutuunganisha na Zanzibar alikuwa anaishia kutoa matusi.

Kwa sababu ya Muungano obviously, Magufuli anasema alikuwa na choice mbili, Mwinyi na Samia. Ndio tukaishia na huyu bii Mkubwa.
Kisiwa hicho hakiko nyuma ya Madagascar ndio maana kumejaa makabila ya watu wa bara tu.....watu hao hawako MADAGASCAR.......

Wazanzibari asili yao Tanganyika.

#SiempreSerikaliMbiliZaJMT
#SiempreJMT
#KaziIendelee
 
Rais Samia anadai na hii namsikia mara ya pili au ya tatu, ati uchaguzi ukiisha Marekani panakuwa hakuna mikutano, isipokuwa ya kudai umeme ukikatika.

Wiki chache tu zilizopita Trump alikuwa na mkutano mkubwa wenye malengo ya 2024. Huyu Mzanzibari hajui siasa za dunia.

View attachment 1886683
Alipaswa awe anakaanga maandazi huyu mama sijui anafanya nini majukwaani?
 
Sio KILA sehemu mambo ya gender,haya ya gender yaishie kwenye maeneo mengine.
Kama nawaelewa wamarekani ilikuwa ni bora obama na trump na sio clinton japo ndie mahindi.
 
Rais Samia anadai na hii namsikia mara ya pili au ya tatu, ati uchaguzi ukiisha Marekani panakuwa hakuna mikutano, isipokuwa ya kudai umeme ukikatika.

Wiki chache tu zilizopita Trump alikuwa na mkutano mkubwa wenye malengo ya 2024. Huyu Mzanzibari hajui siasa za dunia.

View attachment 1886683
Tutapambana naye mpaka atarudi kwao Zanzibar
 
Samia anashindwa kuiheshimu katiba iliyomuweka Madarakani.
 
Unazungumzia tukio moja la Trump kum challenge Rais ambaye kazungumzia siasa zisizo kwisha na watu kutaka maandamano ya kila mara huku kwetu?

Nadhani siasa za kisayansi ni zile za kupanga mikakati kwa kuangalia udhaifu wa Chama na Serikali iliyopo madarakani, ili ukifika uchaguzi mnaanza kufyatua hoja. Ndivyo America na wenzetu walivyo. Wanasoma mchezo wakiwa benchi. Kwa hiyo Rais yuko sahihi. Kalenda za vikao kwa mujibu wa Katiba safi ila jogging za kisiasa hadi uchaguzi.
 
Rais Samia anadai na hii namsikia mara ya pili au ya tatu, ati uchaguzi ukiisha Marekani panakuwa hakuna mikutano, isipokuwa ya kudai umeme ukikatika.

Wiki chache tu zilizopita Trump alikuwa na mkutano mkubwa wenye malengo ya 2024. Huyu Mzanzibari hajui siasa za dunia.

View attachment 1886683
SSH kichwani ni mweupe msamehe Bure. Jipangeni kufanya kweli 2025 kama ataigusa fomu ya kugombea
 
Rais Samia anadai na hii namsikia mara ya pili au ya tatu, ati uchaguzi ukiisha Marekani panakuwa hakuna mikutano, isipokuwa ya kudai umeme ukikatika.

Wiki chache tu zilizopita Trump alikuwa na mkutano mkubwa wenye malengo ya 2024. Huyu Mzanzibari hajui siasa za dunia.

View attachment 1886683
Rubbish tupu. Exposure ya Rais SSH ni kubwa sana
 
Rais Samia anadai na hii namsikia mara ya pili au ya tatu, ati uchaguzi ukiisha Marekani panakuwa hakuna mikutano, isipokuwa ya kudai umeme ukikatika.

Wiki chache tu zilizopita Trump alikuwa na mkutano mkubwa wenye malengo ya 2024. Huyu Mzanzibari hajui siasa za dunia.

View attachment 1886683
Kulikuwa na uchaguzi mdogo kwenye jimbo-ushahidi huo hapo- wewe ndiyo huna exposure

POLITICS

Donald Trump Holds First Post-Presidency Rally In Support Of Congressional Candidate​

  • Facebook
  • Twitter
  • Flipboard
  • Email
June 27, 20218:00 AM ET
Heard on Weekend Edition Sunday
Don
DON GONYEA

Trump is promoting the candidacy of a former White House staffer who hopes to unseat GOP Congressmen Anthony Gonzalez, who voted to impeach Trump.
Former US President Donald Trump on Saturday held his first rally since leaving the White House.

The rally, at Lorain County Fairgrounds in Wellington, Ohio, was intended to endorse conservative congressional candidate Max Miller, a former Trump aide.
 
Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
 
Back
Top Bottom