Na hayo maneno alikua anayasemaga Sana Mwendazake, amewakaririsha CCM nao wanayarudia kila siku.
Sasa Mwendazake na kujua global issues wapi na wapi.
Ni wajinga sana hawa watu yaani wanataka tufuate wanayotaka wao kijinga na si katiba inatakaje. Kwamba uchaguzi ukiisha vyama vya siasa vngine vyooote viache kazi ya siasa CCM peke yake ndiyo ifanye siasa vingine vifanye kazi gani na ni vyama vya siasa?
Ok labda hilo ndilo mnalolitaka na nyinyi ndiyo wenye nchi zaidi sisi wengine hatuna haki basi anzieni kwenye katiba? Si mko peke yenu bungeni badilisheni katiba iendane na mnayoyataka tujue moja na si huu utopolo mnalotueleza unaopingana na katiba mliyoapa kuulinda.
