Rais Samia hana mchezo wala subira kwa atakayechezea fedha za umma

Kiongozi mzuri Ni Yule anayeweza kutengeneza viongozi wengine aina yake, Kama Ni hivyo Obam angekuwa bado yupo madarakani mpaka Sasa maana alikuwa anakubalika bado na wamarekani

Umeenda Rwanda? Umeona mafanikio ya Rwanda? Umeona uwekezaji wa Rwanda ?
 
wewe jamaa unatupima upepo?

Mule hakuna kiongozi mwenye uchu na mali za hii nchi..mle kuna mtu anakalia kiti cha urais.
Rais Samia anauchungu mkubwa Sana na Rasilimali za nchi hii, anakiu na dhamira ya kuona umaskini unapungua nchini, Amedhamilia kuona Rasilimali tulizojaliwa na mwenyezi Mungu Zina Leta Neema katika maisha yetu watanzania, Tuendelee kumwamini na kumpa ushirikiano Rais wetu mpendwa
 
Kwa nini mpaka tusubiri raisi ndio awachukulie hatua wahuni. Kwani hatuna sheria hii nchi. Inaboa sana.\
MPENI CAG MAMLAKA YA KUWAPELEKA MAHAKAMANI WANAOCHEZEA PESA ZA UMMA.
 
Ndugu zangu Rais Samia anahangaika huku na kule kutafuta fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimaendeleo, anahangaika kila mahali kutafuta wawekezaji , anashindwa kupata hata muda wa kupumzika na Familia ili kuona watanzania wanapata huduma Bora na karibu kabisa ya makazi yao, anasafiri huku na kule kutafuta fursa za kibiashara kwa Taifa letu, anahangaika usiku na mchana kuona maisha ya mtanzania yanabadilika na kuwa Bora kila kukicha

Anafanya hayo yote kwa kutambua Hali ya kiuchumi ya watanzania, anafanya hayo ili mgonjwa akienda hospitalini apate huduma Bora na kwa wakati, akute madakitari,vifaa Tiba na dawa za kila aina, Anataka mwanafunzi anayetoka familia maskini awe na uhakika wa kusonga mbele kielimu akifaulu, anataka mwanafunzi akimaliza kidato Cha sita apate mkopo wa elimu ya juu, anataka wakulima wapate pembejeo kwa Bei nafuu, anataka huduma za maji na umeme ziwe za uhakika na kufika kila mahali ili kufungua fursa za ajira kwa vijana

Anataka kuona vijana wanapata fursa za ajira na kuajirika, anataka kuona vijana wanakopeshwa kupitia Halimashauri zao ili waweze kupata mitaji ya kuwekeza katika shughuli za kiuchumi zitakazo wapunguzia utegemezi na umaskini wa kipato, anataka kuona akina mama wanawezeshwa ili kuchangia katika maendeleo ya familia na kuondoa utegemezi kwa Waume zao, anataka kuona kila mtu ana faidika na jasho lake, anataka kuona Kiwango Cha umaskini kikipungua katika nchi yetu

Rais Samia anatambua namna watanzania wanavyohangaika kuijenga nchi yao, anatambua namna wanavyojinyima kulipa Tozo , ushuru na Kodi mbalimbali kuijenga nchi yao kwa mikono yao wenyewe, anatambua namna vijana wanavyohangaika huku na huku kutafuta vibarua ili kujipatia kipato cha kujikimu kimaisha

Hivyo Rais Samia hawezi kukubali mtu au watu au kikundi kinachoweza kuchezea fedha za umma, Hawezi kumvumilia kiongozi au mtumishi wa umma atakaye fuja fedha za umma ,hawezi kumwonea haya au aibu mtu atakayechota fedha za umma na kuweka mfukoni mwake, hata mpa nafasi ya pili kwa mtu atakaye shindwa kutambua kuwa uongozi Ni utumishi kwa watu na hawezi kuhangaika kutafuta fedha kuja kujenga nchi yetu halafu mwingine afanye kazi ya kuzichota kwa manufaa yake binafsi

Watanzania Tuendelee kumuunga mkono na kumwamini Rais wetu mpendwa, Tuendelee kumpa ushirikiano, Tuendelee kumshauri kwa staha heshima na busara, Rais wetu Ni msikivu Sana kwetu watanzania, Rais wetu anayo dhamira njema na uchungu mkubwa Sana na nchi yetu, Rais wetu anatamani kuona sisi vijana na watanzania wote kwa ujumla tukiondoka katika Hali ya umasikini wa kipato, Anataka kuona hakuna mtanzania anayelia kwa kuonewa na kulala na njaa kwa kukosa chakula

Rai yangu kwa viongozi na watumishi wa umma mliopata bahati ya kuwa sehemu ya serikali, mtambue kuwa uongozi unatoka kwa Mwenyezi Mungu, hivyo mmepata bahati ya kuwatumikia watanzania wanyonge wanaohitaji huduma Bora kutoka kwenu, Tambueni uongozi ni dhamana mnayopaswa kuitumia kuwafuta machozi na kuwatua mizigo watanzania,Tendeni haki kwa haki,

Tangulizeni mbele maslahi ya umma, ondoeni Tamaa Binafsi muwapo makazini kwenu, Rizikeni na kile mkipatacho kwa kutambua kuwa huku mtaani Kuna vijana wanatamani wangefanya kazi hata wangepata nafasi ya kujitolea tu, Tambueni kuwa mmepata bahati ya kipekeee Kati ya mamillioni ya watanzania wenye sifa Kama zenu au kuwazidi. Mwisho Tambueni kuwa kiongozi haimaanishi kuwa mna akili kuliko watanzania wote wasio katika uongozi ,Hivyo kuweni wasikivu, wanyenyekevu,wavumilivu,wakalimu na wenye upendo kwa watu wote wanaohitaji na kuja katika ofisi zenu kupata huduma

Kazi iendeleee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Ungekua una akili timamu tungekushangaa
 
Wewe ndiye utakayewawajibisha au Kuna ambaye yuko responsible. Tangu nimesoma hekaya zako unazoandika nimegundua you are the laughing stock of JF! Pathetic
Watawajibishwa kwa mujibu wa Sheria kanuni taratibu na katiba yetu
 
Rafiki, mvua za vuli zimeanza kunyesha! Nenda kaandae shamba upande mihogo na viazi vitamu utafaidika mbeleni. Huu uchawa hautakaa ukupe faida. Mwaka huu aliyepata bahati Tena kutokana na juhudi zake binafsi ni yule kijana Majaliwa. Wengineo wa aina Yako mnaopenda kazi laini za kushinda kwenye mitandao msahau teuzi zitokanazo na upigaji debe! Sijui umenisikia na kunielewa au niongeze sauti? Kalime!
 
Back
Top Bottom