Rais Samia hana mchezo wala subira kwa atakayechezea fedha za umma

Kulima naendelea kulima Kama kawaida yangu, lakini pia lazima ujuwe kuwa huwezi ukajikuta katika kulima pasipo kuelewa kinachoendelea kwa serikali yako maana maamuzi ya serikali yananigusa mkulima moja kwa moja, Kama ambavyo uliona katika suala la Ruzuku za mbolea namna lilivyo tunufaisha wakulima, kusema ukweli siyo uchawa na kupinga pinga kila kitu hata vizuri siyo ushujaa
 
Hujambo ustaadh Mwashambwa?Nasubiri nione utakavyoitika ili nijue afya yako ya mwili mzima na akili zako.
 
Ila mwana itakuwa wewe una matatizo ya mtindio wa ubongo
 

Unasifia mpaka vitu vya Haki yako hahahaha

Mbolea ni haki yako tena ulitakiwa kupewa bure

Mwisho utasifia hata police ambao wapo kijijini kwako kuwa wameletwa Kwa hisani
 
Unasifia mpaka vitu vya Haki yako hahahaha

Mbolea ni haki yako tena ulitakiwa kupewa bure

Mwisho utasifia hata police ambao wapo kijijini kwako kuwa wameletwa Kwa hisani
Elewa kuwa Kama mh Rais Samia asingekuwa na moyo wa kujari wakulima tungeumia Kama mwaka Jana, lakini kwa uongozi wake na kutambua umuhimu wa wakulima aliamua kutoa Ruzuku ili Bei ya mbolea ishuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…