Rais Samia hana mchezo wala subira kwa atakayechezea fedha za umma

Nonsense
 
Hebu tupe Mfano alikoshughulika na Majizi
Huko Bwawa la Mwalimu Nyerere saizi watu wameneemeka ..wananunua Mabasi tu. Wee Wacha bhana
 

Hivi hamnaga kazi mpaka muandike mda wote huu mambo ya hovyo kabisa?
 
Hivi hamnaga kazi mpaka muandike mda wote huu mambo ya hovyo kabisa?
Kwani kazi zako zinakuzuia vipi kujuwa namna serikali yako na Rais wako anavyo fanya kazi kukuletea maendeleo
 
Safari Za nje anafadhiwa na nani?
 

Attachments

  • 80CD3E54-A81D-4AA2-9513-5A9E065FB1E3.jpeg
    57.4 KB · Views: 11
Amini Nakwambia hakuna atakayebakia salama na kusalimika ikiwa atabainika kufuja pesa zetu, uwe na subira utaona Moto utakao wawakia, hakika watajuta
Waanze na hizo ziada kwa pesa zilizokopwa nje ya iliyoidhinishwa na bunge, tuone nani atawajibika hapo
 
Acha upotoshaji, kwani hukuona fursa za kibiashara na kiuwekezaji ambazo nchi yetu ilipata kupitia safari hiyo
Kusaini mikataba ? Oman ni wapemba mkuu na tukizuia ufisadi na kuchapa kazi uchumi wetu ungekuwa kwa kasi hatuna haja kwenda kuwa kusaini na kuwaomba waje
 
Naamini hii ni kati ya thread zinazolenga kuudhi watu ili watukane wapewe ban. Mi binafsi siongei lolote maana sitaki nipate dhambi ya kutukana
 
Hii thread itafanya zaidi ya Jf members 6,000 kupigwa Ban.
Watu humu wanajitambua usikiri wote wanawaza kutukana kila kitu Kama wewe, humu wengi wanajitambua na wanajuwa tunaweza kutofautiana lakini tunakosoana kwa staha
 
Watu humu wanajitambua usikiri wote wanawaza kutukana kila kitu Kama wewe, humu wengi wanajitambua na wanajuwa tunaweza kutofautiana lakini tunakosoana kwa staha
 

Attachments

  • BD079547-EEF5-49C7-A58F-0B7B1E9A6CAE.jpeg
    52.9 KB · Views: 12
Kwani kazi zako zinakuzuia vipi kujuwa namna serikali yako na Rais wako anavyo fanya kazi kukuletea maendeleo

Mimi nachangia maendeleo ambayo wala siyaoni, hakuna serikali imeniletea maendeleo
 

Ukimaliza jokes zako tuambie ili tuanze kuongea mambo ya msingi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…