Rais Samia hana mchezo wala subira kwa atakayechezea fedha za umma

Mbona zinapigwa sana na MaDED wake wa uvccm kama madarasa ya uviko yaliyotakiwa wekwa tinted DED kapiga pesa yote ya madarasa hayo mil.6 na na sahizi yashachimbika kumbe hata wakaguzi majengo wanapiga tu.
Wizi hauwezi isha mpaka ije KATIBA MPYA inayoleta adhabu ya kunyongwa kwa yeyote anakula pesa ya umma.
 
Siyo kweli pesa za Umma zinaliwa saaaana. Mtumishi anaamua kuhamia Dodoma, anajilipa pesa ya Uhamisho. Ikiisha ingia kwenye Account anaomba kustaafu. Halafu anarudishwa kisheria Kwa pesa nyingine ya Umma. Huko siyo kufilisi peasa ya Umma?
 
Mimi nachangia maendeleo ambayo wala siyaoni, hakuna serikali imeniletea maendeleo
Huoni maendeleo? Ulipo hakuna vituo vya Afya? Hakuna shule ulipo? Hakuna umeme na huduma za maji? Kama una watoto wanasoma shule za serikali j?e umewahi kudaiwa Ada? Kama wewe Ni mkulima hujafaidika na mbolea za Ruzuku?
 
Kama unazo taarifa hizo ingekuwa vyema ukatoa taarifa hata kwa kuweka hapa jukwaani kwa ushahidi ili serikali ifanyie kazi na kuchukua hatua
 
Huoni maendeleo? Ulipo hakuna vituo vya Afya? Hakuna shule ulipo? Hakuna umeme na huduma za maji? Kama una watoto wanasoma shule za serikali j?e umewahi kudaiwa Ada? Kama wewe Ni mkulima hujafaidika na mbolea za Ruzuku?

Fala wewe
 
Rejea ripoti ya CAG dhidi ya uammuzi wa Rais, ulinganishe na hoja yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…