ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Unafanyaje ukiwa unajali? Mke wako anakufa hospitalini kwa ajili ya uzembe?Mh. Samia ni msikivu sana tena sana na huo ndiyo udhaifu wake wakati fulani.
Wasaidizi wake ngazi za chini wamemuangusha mno.
Uzembe kazini na ufisadi vimekuwa vitu vya kawaida. Vimerasimishwa hadharani kwa matendo na maneno.
Umeme umeua wangapi?
Rushwa, tozo, mfumuko wa bei, maji ngorongoro, misitu unasemaje kuhusu hivi?