Pre GE2025 Rais Samia hapaswi kugombea 2025 akigombea tumkatae

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mh. Samia ni msikivu sana tena sana na huo ndiyo udhaifu wake wakati fulani.

Wasaidizi wake ngazi za chini wamemuangusha mno.

Uzembe kazini na ufisadi vimekuwa vitu vya kawaida. Vimerasimishwa hadharani kwa matendo na maneno.
Unafanyaje ukiwa unajali? Mke wako anakufa hospitalini kwa ajili ya uzembe?

Umeme umeua wangapi?

Rushwa, tozo, mfumuko wa bei, maji ngorongoro, misitu unasemaje kuhusu hivi?
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Naunga mkono.....tukatae na tuwe na Tume huru
 
Nani sasa anafaa!!? Isije kuwa ya mkataa ya Mussa....yakampata ya furauni
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Hata kama humkubali wewe na familia yako lakini sisi wengine tunamkubali
 
Unafanyaje ukiwa unajali? Mke wako anakufa hospitalini kwa ajili ya uzembe? Kukosa rushwa.

Umeme umeua wangapi?

Rushwa, tozo, mfumuko wa bei, maji ngorongoro kuuzwa, misitu kuuzwa unasemaje kuhusu haya.
 
 
hana uwajibikaji wa pamoja atatuchelewesha sana kufikia kwenye maendeleo endelevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…