Rais Samia hapaswi kuitwa Daktari


Kwanini unakereka ikiwa Academia ya maproffessor wamekaa wakajadili wakaona anafaa kabisa na wakampa ama kumtunza mtu fulani heshima hiyo ya doctor. Mawazo yako ya ajabu

Kwa nini asiitwe hivyo?
Dr. Samia Hasan Suluhu ni Msuluhishi mzuri tu hana chuki na mtu na ana roho nzuri tu .
 
Kweli kabisa.
 
Samahani kuhusu SCANIA.....sema gia ya MBAULA FIAT 682 N3 Mkasi juu mkasi chini......
 
Usipate hofu sana huyu ni dokta kama dokta Remmy Ongala tu.
 
Na pia mtu anayepaswa kuitwa Dr ni yule anayefundisha chuo kikuu kama hafundishi au ameacha hata kama ni PhD holder hapaswi kuitwa Dr au Professor

Umenoa. Hii haikuanza juzi.
Doctor Samia ✅
 
Umenoa. Hii haikuanza juzi.
Doctor Samia ✅
Title ya Dr haijibebi yenyewe labda doctorate degree za ccm. Mbele ya title ya Dr hufuatiwa na taaluma husika au aina ya degree iliyosomewa darasani.

Udaktari wa heshima kwa anayetunukiwa unaishia eneo hilo alilotunukiwa tu sio nje ya chuo husika. Zaidi ya hapo ni siasa kwenye taaluma.
 
Bora huyu inajulikana kuwa alitunukiwa, kuna yule aliupata kwa njia ambazo hazieleweki, Bensanan alipofatilia juu ya hiyo PhD kilimkuta kilichomkuta mpaka leo hatujui yuko wapi. Sasa hapo bora yupi kati ya mwenye feki au halali lakini ya kupewa na iko wazi
 
Nani anataka kushika pabaya?
Nani anataka kupoteza ugali wake?
Jibu ni Hakuna, basi tulieni wote.
 
Ilianzia kwa Jakaya Kikwete na ndo mwanzilishi wa haya. Lengo kuficha aonekane ana elimu kubwa. Lengo lilikuwa kudilute mgombea wa upi Dr Slaa. Mama naye naona kaiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…