figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
𝖧𝖠𝖡𝖠𝖱𝖨 𝖬paka wa Kasumulu, pole kwa ukimya wa mda mrefu kufuatia taarifa ya ujumbe wa sauti kutoka kwa Mwenyekiti wa Madereva Nchini Malawi. Iliotumwa na Mjumbe mwenzetu "Ndugu Amani Jackson Mwangwasi.
Sisi kama viongozi tumefanya jitihada za kuwatafta uongozi wa Madereva, Tumefanikiwa kumpata Mwenyekiti wa Madereva Nchini Malawi, Ndugu Francis Mkandawile, tumeongea nae kwa njia ya simu na ameweza kututhibishia kufuatia tamko ilo walilo litoa. Sababu kubwa nikutokana na mishahara ya madereva kutoka kwa wamiliki wa magari Nchini Malawi kuwa midogo, na ivyo kutaka waweze kuongezewa mishahara kutoka kwa ao waajiri wao, ambao ndio wamiliki wa Magari ayo.
Na ilo zoezi litaanza rasmi kuanzia tarehe 01/07/2025 adi kufikia hitimisho tarehe 03/07/2025. Naomba mawakala wote tufikishe taarifa kwa wateja wetu ambao ni wamiliki wa magari ya kubeba mizigo (malori)