Rais Samia Hassan anavunja trend hii ya toka enzi za Nyerere

Suluhu
Nyerere
Mwinyi
Jakaya
Mkapa
Kawawa
Makamba.


Uongozi Tanzania ni majina yenye same vowels...
 
😃😃😃😃
 
Suluhu
Nyerere
Mwinyi
Jakaya
Mkapa
Kawawa
Makamba.


Uongozi Tanzania ni majina yenye same vowels...
Ahahahahahaha yani umeamua tu kuchagua hao as if ndo viongozi peke yao, Kabudi je? Au kwa kuwa katolewa jalalani mzee?

Mizengo?
Kikwete?
Hassani?
Gwajima?
Lemutuz?
Bi nyau?
 
Ni awamu ya 6 au awamu ya tano ila raisi wa sita?
Hii ni awamu ya sita mkuu, mbona hamtaki kuamini kuwa awamu ya tano is over? Halaaaafu hizo Picha za awamu ya tano kwenye Kuta zitoeni haraka kabla paranja halijaanza, hizi ni nyakati za awamu ya sita.
 
Tuambie kwanza kwa nini picha yake official anaangalia ant clockwise?
Mkuu Anticlockwise is an motions covers all aspects of life.

Na hii inaonyesha uongozi huu utakuwa tofauti na mtangulizi wake kwa aina ya utendaji, kimamlaka.

👉🏾Mtoa mada hawezi kujua hii.
 
Rais Hassan ni Rais pekee kwa Tanzania kuwahi kufanya kazi katika nyanja 4 tofauti kwa mafanikio.
1. Mtumishi Serikalini
2. Mwajiriwa wa Shirika la Kimataifa (UN-FAO)
3. Mwanaharakati katika Mashirika yasiyo ya Serikali (NGOs)
4. Mwanasiasa
Hii ni unique experience ambayo inaweza kumfanya Mhe. Rais kutoa balance inayostahili kwa watanzania. Hata hivyo shida yangu ni uchumi alioachiwa na "shujaa wa Afrika": indebtedness economy.
 
Sasa mbona yeye kafananisha kabisa. Achana na Herufi.. yeye kafananisha jina zima. Yaani Hassan.
 
Mkuu Anticlockwise is an motions covers all aspects of life.

Na hii inaonyesha uongozi huu utakuwa tofauti na mtangulizi wake kwa aina ya utendaji, kimamlaka.

👉🏾Mtoa mada hawezi kujua hii.
Shukrani kiongozi
 
Naomba kuuliza, katiba inasema ukomo ni miaka 10 au awamu mbili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…