Rais Samia Hassan Suluhu asikubali kila kitu!

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,162
Reaction score
9,073
Salam wakuu,

Sina kinyongo na watoto wa wakubwa kujazana kwenye chama na serikali.

Rai yangu moja,Mama ni vyema baadhi ya wanafamilia wake akawaweka nje ya chama na serikali.

Mfano kuna mmoja mbunge,Kuna wengine ndio hivyo kwenye taasisi, wengine mme waziri etc etc.

Hii sio dalili njema, otherwise kila kheri
20221118_125142.jpg
 
"IT'S OUR TIME TO EAT"🤣🤣🏃🏃
 
Salam wakuu,
Sina kinyongo na watoto wa wakubwa kujazana kwenye chama na serikali.

Rai yangu moja,Mama ni vyema baadhi ya wanafamilia wake akawaweka nje ya chama na serikali.

Mfano kuna mmoja mbunge,Kuna wengine ndio hivyo kwenye taasisi, wengine mme waziri etc etc.

Hii sio dalili njema, otherwise kila kheri View attachment 2420151
Hawezi kufanya kinyume na utaratibu wa CCM, CCM ina wenyewe na wenyewe ni viongozi na familia zao.
 
Napenda kukwambia kuwa kijana kuwa mtoto wa kiongozi haimzuii yeye kuwa kiongozi au kugombea nafasi ya uongozi. Kinachoangaliwa Ni uwezo wa mtu kiuongozi na uwezo wa kumudu majukumu ya nafasi husika. Sasa mtu anavyovigezo,sifa na uwezo wa kiuongozi na Nia ya kutaka uongozi halafu aogope kugombea uongozi kisa baba au mama yake Ni kiongozi au amewahi kuwa kiongozi?

Hapana hiyo siyo sahihi na siyo haki hata kidogo, Na Kama ingekuwa hivyo Basi George na Uhuru kenyata wasingefika walipo fika ikiwa wangewaza Kama wewe

Mimi namuunga mkono huyu Binti na namuombea ashinde kwa kishindoo
 
Hawa si ni wale wanaomsema Mbowe eti smejaza ndugu zake Chadema, wakiambiwa wawataje wanagwaya.
 
Napenda kukwambia kuwa kijana kuwa mtoto wa kiongozi haimzuii yeye kuwa kiongozi au kugombea nafasi ya uongozi. Kinachoangaliwa Ni uwezo wa mtu kiuongozi na uwezo wa kumudu majukumu ya nafasi husika. Sasa mtu anavyovigezo,sifa na uwezo wa kiuongozi na Nia ya kutaka uongozi halafu aogope kugombea uongozi kisa baba au mama yake Ni kiongozi au amewahi kuwa kiongozi?

Hapana hiyo siyo sahihi na siyo haki hata kidogo, Na Kama ingekuwa hivyo Basi George na Uhuru kenyata wasingefika walipo fika ikiwa wangewaza Kama wewe

Mimi namuunga mkono huyu Binti na namuombea ashinde kwa kishindoo
Well said watu wanatanguliza chuki mbele badala ya kusimama kwenye uhalisia kwaiyo kama mtu anatoka kaytika familia ya Rais Samia Suluhu na anauwezo wa kuongoza aache ili awafurahishe watanzania BAVICHA wanachuki sana
 
Hawezi kufanya kinyume na utaratibu wa CCM, CCM ina wenyewe na wenyewe ni viongozi na familia zao.
Hangaika na ya Saccos yenu ya Chadema. ya CCM Tuachie wenyewe Wana CCM. Kazi yako Naona Ni kukurupuka tu utafikiri kichwa chako kina matatizo
 
Back
Top Bottom