Mimi kama mwanafamilia aka Waarabu wa Pemba.Wewe unamsemea SSH ukiwa kama nani? Wewe unayajua yaliyomo moyoni mwake?
Wewe ni mwanafamilia wa SSH?Mimi kama mwanafamilia aka Waarabu wa Pemba.
Si nimeshakuelekeza kuwa msimpake na kumvika kilemba cha ukoka,tumewaona pale bungeni mishipa ya shingo imewatoka eti Mheshimiwa Raisi Samia ataendelea hadi 2030, ufupi nimeshawamegea kuwa hilo halipo kwake Samia anamalizia urithi ,awaachie wenyewe zigo lenu.Wewe ni mwanafamilia wa SSH?
Unaweza kututhibitishia hilo?
Unajifariji,,Samia kugombea ni must kenge ww, sukuma gangMimi kama mwanafamilia aka Waarabu wa Pemba.
Sasa nyie wasaka tonge mnaanza kujipitisha kwa kauli mbiu eti mpaka 2030 ,WaTanzakikikoko ,mnatamaa ya huruma ya Uchaguzi, nani asie jua kuanzia diwani mpaka Marehemu nyote mliondoka na kura za wizi na sio kura maana uchaguzi uliopita upigaji kura haukuwa na faida yeyote si ya mtu kushinda wala kushindwa.
Huyu Samia miyamiya hagombei tena si kwa kuwa hawezi kugombe hataki,anawaachia machogo yenyewe yatoane roho ndani ya CCM, Kwani lile onyo hukulisikia aliposema wale wenye kuutaka Uraisi hapo 2025 waache,hakumaanisha yeye atagombea ,alimaanisha jambo lingine kabisa.
Naona umedukuwa,anapima upepo hata zile style akitoa ile neno akisita sita ili kusikiliza meza kama zitagongwa,na sio tegemeo ziligongwa chache sana. Kama anataka yeye ajitose tu na aanze kampeni sasa kwani Ndani ya CCM kunaonekana jivu kubwa lenye joto kali na moshi unafukuta,ila Samia atawaacha kwenye mataa na kuwatupia zigo lao wenyewe kwake si mitano tena bali ni mitatuimetosha.Mwingulu nchemba, ameanza kampeni za kuutaka urais 2025. Na haifai.
Nimekusikia wewe mjuc kafiri.Unajifariji,,Samia kugombea ni must kenge ww, sukuma gang
Samia hadi 2040____utaki hama nchi jambazi wwNimekusikia wewe mjuc kafiri.
Huyo ni kama mzalendo tu mwenye nia njema na taifa letu.Wewe unamsemea SSH ukiwa kama nani? Wewe unayajua yaliyomo moyoni mwake???