Tangu lini msukuma ukawa Mwarabu wa Pemba?Mimi kama mwanafamilia aka Waarabu wa Pemba.
Sasa nyie wasaka tonge mnaanza kujipitisha kwa kauli mbiu eti mpaka 2030 ,WaTanzakikikoko ,mnatamaa ya huruma ya Uchaguzi, nani asie jua kuanzia diwani mpaka Marehemu nyote mliondoka na kura za wizi na sio kura maana uchaguzi uliopita upigaji kura haukuwa na faida yeyote si ya mtu kushinda wala kushindwa.
Huyu Samia miyamiya hagombei tena si kwa kuwa hawezi kugombe hataki,anawaachia machogo yenyewe yatoane roho ndani ya CCM, Kwani lile onyo hukulisikia aliposema wale wenye kuutaka Uraisi hapo 2025 waache,hakumaanisha yeye atagombea ,alimaanisha jambo lingine kabisa.
Mama aliliweka sawa hili mapema tu kuwa watu wenye ndoto ya 2025 waachane nayo kabisa, maana yake anajua mijadala hiyo hatima yake ni kukigawa chama,hivyo watu wataacha kufanya kazi na badala yake watakuwa bize kujenga mitandao jambo ambalo ni sawa na kukigawa chama.Mnahitaji kulijua hilo, kilichotokea WaZanzibari wanakiita ngekewa, baada ya kufariki mpendwa wao Rais Magufuli, budi haikuwepo ni lazima Mh. Samia Suluhu akamate sukani na kulivusha Taifa hili la Tanzania, hakutegemea ila alijua akifa anarithi Urais hadi hapo 2025 kama atakuwa hai, utakapofanywa Uchaguzi Mkuu.
Kuna hawa WaTanzakikikoko ambao tumewaona bungeni wakianza kupiga chapuo na kusema ni yeye hadi 2030,nawambia waTanzakikikoko hao, wasijipitishe kwa Samia wala wasijipendekeze,kwanza waelewe Samia hawafanani na Magufuli hata kidogo labda kwa kadi za chama nazo namba pia tofauti.
Siku atakuja kukuliza au kukuulizeni mbele ya watu aka mkutano. Je, aliwatuma au aliwambia mseme au mumsemee hayo kuwa ataendelea kugombea hadi 2030? Na ninavyomjua hakawii
Nyinyi mnaomtangazia hayo ndio mnaomjengea maadui ndani na nje ya Chama na ndio mnaokigawa Chama katika kambi au timu,sasa wewe au nyinyi ndio Timu Samia ndani ya CCM.
Hii nafasi ipo wazi kwa mwanachama yeyote wa CCM hasa wa upande huo wa T/Bara, lakini sio kuanza uchuro, Samia mpaka 2530 ndivyo alivyokwambia? Unaacha mambo muhimu ndani ya bunge na kujipanga kwa hoja kuwatetea wananchi na hela inayodaiwa imepotea unaenda kuwaletea watu habari za miaka mitano inayokuja, na yote haya kwa sababu wabunge wengi humo hawakushinda walipitishwa kimagumashi na Tume ya Uchaguzi ya Magufuli, mna tamaa kupiga kigoma ili huyu Rais Samia aanze kukicheza ili mkatize kama mlivyokatiza.
Naona umedukuwa,anapima upepo hata zile style akitoa ile neno akisita sita ili kusikiliza meza kama zitagongwa,na sio tegemeo ziligongwa chache sana. Kama anataka yeye ajitose tu na aanze kampeni sasa kwani Ndani ya CCM kunaonekana jivu kubwa lenye joto kali na moshi unafukuta,ila Samia atawaacha kwenye mataa na kuwatupia zigo lao wenyewe kwake si mitano tena bali ni mitatuimetosha.
Mod futilia mbali huu uzi, hauna uthibisho wowote ule wa maudhui yeyote yale ya ukweli. Huu ni uzushi, na uzushi hasa kwa Mh Rais ni nusu ya uhaini.Mnahitaji kulijua hilo, kilichotokea WaZanzibari wanakiita ngekewa, baada ya kufariki mpendwa wao Rais Magufuli, budi haikuwepo ni lazima Mh. Samia Suluhu akamate sukani na kulivusha Taifa hili la Tanzania, hakutegemea ila alijua akifa anarithi Urais hadi hapo 2025 kama atakuwa hai, utakapofanywa Uchaguzi Mkuu.
Kuna hawa WaTanzakikikoko ambao tumewaona bungeni wakianza kupiga chapuo na kusema ni yeye hadi 2030,nawambia waTanzakikikoko hao, wasijipitishe kwa Samia wala wasijipendekeze,kwanza waelewe Samia hawafanani na Magufuli hata kidogo labda kwa kadi za chama nazo namba pia tofauti.
Siku atakuja kukuliza au kukuulizeni mbele ya watu aka mkutano. Je, aliwatuma au aliwambia mseme au mumsemee hayo kuwa ataendelea kugombea hadi 2030? Na ninavyomjua hakawii
Nyinyi mnaomtangazia hayo ndio mnaomjengea maadui ndani na nje ya Chama na ndio mnaokigawa Chama katika kambi au timu,sasa wewe au nyinyi ndio Timu Samia ndani ya CCM.
Hii nafasi ipo wazi kwa mwanachama yeyote wa CCM hasa wa upande huo wa T/Bara, lakini sio kuanza uchuro, Samia mpaka 2530 ndivyo alivyokwambia? Unaacha mambo muhimu ndani ya bunge na kujipanga kwa hoja kuwatetea wananchi na hela inayodaiwa imepotea unaenda kuwaletea watu habari za miaka mitano inayokuja, na yote haya kwa sababu wabunge wengi humo hawakushinda walipitishwa kimagumashi na Tume ya Uchaguzi ya Magufuli, mna tamaa kupiga kigoma ili huyu Rais Samia aanze kukicheza ili mkatize kama mlivyokatiza.
Kama yeye ni "first gentleman", ajitambulishe.Ongea kwa sauti ndogo mkuu, labda huyu ni mzee wetu taifa, Hafidh!
.MATAGA kwisha habari yako
Vipi tuongeze sauti???Mnahitaji kulijua hilo, kilichotokea WaZanzibari wanakiita ngekewa, baada ya kufariki mpendwa wao Rais Magufuli, budi haikuwepo ni lazima Mh. Samia Suluhu akamate sukani na kulivusha Taifa hili la Tanzania, hakutegemea ila alijua akifa anarithi Urais hadi hapo 2025 kama atakuwa hai, utakapofanywa Uchaguzi Mkuu.