Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Dawa imegonga kwenye mfupaNO REFORMS NO ELECTION
Hilo neno "HATUTAMVUMILIA" mbona sijalisikia, au umechomekea mkuu.?
MwamakulaAkizungumza kwenye Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, Rais Samia amesema nchi yetu (Tanzania) imeendelea kuwa na Umoja na Mshikamano kwasababu viongozi wa dini wamejiepusha na mahubiri yenye uchochezi na kuleta mafarakano.
Aidha ameongeza kuwa Serikali hatosita kuwachukulia hatua kali baadhi ya Viongozi wa dini walio na mwelekeo wa kuhubiri na kupandikiza chuki na uhasama dhidi ya Serikali.
Namshangaa!No reforms no elections
Yaan tuna Rais wa Hovyo kabisaaa kabisaaa
Yeye na serekali wawe wannatenda haki, haki hawatendi unataka nini??!
Kuna dalili ya "nyundo" inakuja.Akizungumza kwenye Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, Rais Samia amesema nchi yetu (Tanzania) imeendelea kuwa na Umoja na Mshikamano kwasababu viongozi wa dini wamejiepusha na mahubiri yenye uchochezi na kuleta mafarakano.
Aidha ameongeza kuwa Serikali hatosita kuwachukulia hatua kali baadhi ya Viongozi wa dini walio na mwelekeo wa kuhubiri na kupandikiza chuki na uhasama dhidi ya Serikali.
Akizungumza kwenye Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, Rais Samia amesema nchi yetu (Tanzania) imeendelea kuwa na Umoja na Mshikamano kwasababu viongozi wa dini wamejiepusha na mahubiri yenye uchochezi na kuleta mafarakano.
Aidha ameongeza kuwa Serikali hatosita kuwachukulia hatua kali baadhi ya Viongozi wa dini walio na mwelekeo wa kuhubiri na kupandikiza chuki na uhasama dhidi ya Serikali.
Sauti ya kimamlaka kabisa hii.
Ametosha katika nafasi yake.
Mitano tena.