Hivi kwa nini wanasiasa wao wanadhani kuambiwa ukweli ni kudandia siasa?
Anaubaya gani mkuu wa dini kukemea siasa chafu
Huyu apuuzwe tu.Akizungumza kwenye Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, Rais Samia amesema nchi yetu (Tanzania) imeendelea kuwa na Umoja na Mshikamano kwasababu viongozi wa dini wamejiepusha na mahubiri yenye uchochezi na kuleta mafarakano.
Aidha ameongeza kuwa Serikali hatosita kuwachukulia hatua kali baadhi ya Viongozi wa dini walio na mwelekeo wa kuhubiri na kupandikiza chuki na uhasama dhidi ya Serikali.
"Tushikilie msimamo wa imani, udhibiti wa nafsi zetu na wajibu wetu katika kuikuza na kuitunza amani yetu nchini. Niwaombe katika madhehebu na makundi yenu mbalimbali muweze kuwadhibiti wale wachache miongoni mwenu walio na mwelekeo wa kuhubiri na kupandikiza chuki kwa wananchi dhidi ya Serikali yao. Waache kufanya hivyo. Ni vyema sote tujue kuwa katika mifarakano na hasama hakuna atakayeibuka mshindi, bali kutatokea hasara na majanga,"
Amewakosea sana adabu labda alikuwa ameshapiga divai kidogo maana akipata gumbizi kidogo yanamtoka maneno machafu...halafu anawaambia viongozi wa dini kwamba " wanadandia " hoja za kisiasa.
..huko ni kuwakosea heshima viongozi wa Dini.
Maua yako Mkuu👉💐💐🌻💐🌻💐Anataka viongozi wa dini machawa kama yule tapeli muuza mafuta ya upako na masheikh ubwabwa ambao wao ni kusifia tu.
Hapana.Huyu apuuzwe tu.
Election tunakwenda na miaka 5 anamalizia Tuombe Uhai na UzimaNO REFORMS NO ELECTION LINDA DEMOKRASIA
Bila HAKI vita vikianza msilaumu Wananchi.Election tunakwenda na miaka 5 anamalizia Tuombe Uhai na Uzima
Je wanasiasa wanafanya vitengo visivyo vya Haki Kwa kutumia Madaraka Yao Nani atawashughulikia wasivunje Amani yetuAkizungumza kwenye Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, Rais Samia amesema nchi yetu (Tanzania) imeendelea kuwa na Umoja na Mshikamano kwasababu viongozi wa dini wamejiepusha na mahubiri yenye uchochezi na kuleta mafarakano.