PreGE2025 Rais Samia: Hatutamvumilia kiongozi wa dini anayechochea chuki na uhasama dhidi ya Serikali, mkawadhibiti!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Jukumu la kwanza la msingi la kiongozi wa dini ni kuinena kweli ya Mungu, yaani kukemea uovu, na dhuluma.

Viongozi wa dini walio wa kweli, wakemee vitendo vya kishetani kama vile vya kuteka, kuwapoteza na kuwaua wanaomkosoa Rais au Serikali yake.

Viongozi wa kweli wa dini wakemee uharamia wa CCM wa kupora maamuzi ya wananchi wakati wa uchaguzi. Wakemee unafiki wa CCM wa kutaka watu washiriki uchaguzi, lakini wakitaka kushiriki kwa kutowapa kura CCM, wanaishia kuumizwa, kubambikiwa kesi na hata kuuawa.
 
Huyu apuuzwe tu.
 
..halafu anawaambia viongozi wa dini kwamba " wanadandia " hoja za kisiasa.

..huko ni kuwakosea heshima viongozi wa Dini.
Amewakosea sana adabu labda alikuwa ameshapiga divai kidogo maana akipata gumbizi kidogo yanamtoka maneno machafu.
 
Chuki na uhasama wanachochea wana ccm wenyewe kwa kuchanganya siasa na dini.
 
Hebu soma hapa



Halafu soma na hii



Halafu Toa Maoni yako
 
Je wanasiasa wanafanya vitengo visivyo vya Haki Kwa kutumia Madaraka Yao Nani atawashughulikia wasivunje Amani yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…