Nani mwenye jukumu la kulinda mali ya umma wa Watanzania, ni waziri wa sekta husika au vyombo vya ulinzi likiwamo jeshi la police?Biteko jiandae
Fukuza watu kazi,hizi Kauli "hatutaruhusu"hazina maana,inajurikana kabisa kutorosha madini ni kosa,anayefanya inabidi aadhibiwe vikali.Rais Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo 2025, Serikali inalenga Sekta ya Madini iweze kuchangia 10% ya Pato la Taifa. Ameeleza hayo katika Hafla ya Utiaji Saini Mikataba baina ya Serikali na Kampuni za Uchimbaji Madini...
Utoroshwaji madini mie ndo naweza zuia kwa sababu najua mbinu zao!! Babu yangu alikuwa mwizi wa madini nilimsaidia mnoo!...na bado wantumia mbinu hizohizo sasa Mama Samia wewe si unanijua niite nifanye kazi hiyo!Rais Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo 2025, Serikali inalenga Sekta ya Madini iweze kuchangia 10% ya Pato la Taifa. Ameeleza hayo katika Hafla ya Utiaji Saini Mikataba baina ya Serikali na Kampuni za Uchimbaji Madini.
Amesema, "Tunasikia Madini yamepenya huku na huku, jitihada zinafanyika kuzuia hali hiyo. Waliotumwa kusimamia utoroshwaji madini badala ya wao kuwa chanzo, warudi walinde Rasilimali yetu"
Ameongeza, "Hali ya utoroshwaji haikubaliki na hatutaruhusu Uhujumu huu kuendelea. Zifanyike doria za mara kwa mara ili wahusika wajulikane"
Nashauri serikali ianze na huyo baba yako, ulete ushahidi achukiliwe hatua za kisheria ndo upewe kazi ya kudhibiti hao watoroshaji.Utoroshwaji madini mie ndo naweza zuia kwa sababu najua mbinu zao!! Babu yangu alikuwa mwizi wa madini nilimsaidia mnoo!...na bado wantumia mbinu hizohizo sasa Mama Samia wewe si unanijua niite nifanye kazi hiyo!
nitumie hata E-mail nije nikufanyie kazo hiyo ni dakika sifuri tu nakuleta taarifa kamili!.....ukitaka kuendelea na kazi niite tufanye kazi
Madini hapana, tembo ndio!!Rais Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo 2025, Serikali inalenga Sekta ya Madini iweze kuchangia 10% ya Pato la Taifa. Ameeleza hayo katika Hafla ya Utiaji Saini Mikataba baina ya Serikali na Kampuni za Uchimbaji Madini.
Amesema, "Tunasikia Madini yamepenya huku na huku, jitihada zinafanyika kuzuia hali hiyo. Waliotumwa kusimamia utoroshwaji madini badala ya wao kuwa chanzo, warudi walinde Rasilimali yetu"
Ameongeza, "Hali ya utoroshwaji haikubaliki na hatutaruhusu Uhujumu huu kuendelea. Zifanyike doria za mara kwa mara ili wahusika wajulikane"
Msomege kwa uelewa!........ mie sikusema ivo!! usinirishe maneno!! tumia akili kunijibu siyo unakurupuka tuu!!Nashauri serikali ianze na huyo baba yako, ulete ushahidi achukiliwe hatua za kisheria ndo upewe kazi ya kudhibiti hao watoroshaji.