Rais Samia hautafanikiwa kuipoteza CHADEMA, nakuhakikishia hilo

Kama huamini na wewe ongezea nguvu kupambana na CHADEMA tukuone kama utamaliza miaka mitano na nusu ukiwa hai,jaribu uone,wewe unadhani mchezo?
Mwigulu amepambana na Chadema miaka zaidi ya 18 iliyopita mbona anadunda tuu.
Au ukiwa Myiramba dua yako haikudhuru. Kazi kweli kweli na hayo maombi chanya kama ni ya kweli. Chadema yetu.?
 
2025 inatakiwa mama akapumzike.Washamchoka mapema hata vijijini tozo, mafuta bei juu.Ccm bye bye.
Eeeee ndugu yangu, kote huko mpaka 2025? Si nchi hii itaku ishakuwa majivu? Huyu hafai hata kwa kumalizia mwaka.
 
Chama kina mbunge mmoja (tena ameasi chama) ila kelele zake mitandaoni ni kama wana 2/3 ya wabunge bungeni, mnasubiriwa feld tar 5 kama alivyotangaza katibu wenu.
Mkuu "MpendaCCM" - na sio Mpenda TZ:

Inaonyesha una upungufu wa kufikiri.
CHADEMA haina hata mbunge mmoja bungeni, huyo unayemtaja na wale ambao hukupenda kuwagusia ni wabunge wa CCM.

Hiyo tarehe 5 August, naona una hamu kubwa sana nayo kuliko hata CHADEMA walioitangaza! Lakini jambo la kukumbuka kwako na kwa wenzio wengi mlioko huko CCM, hawa polisi kuna siku watakoma kubeba hiki chama chenu. Je mpo tayari kwa yatakayofuata?
 
Eeeee ndugu yangu, kote huko mpaka 2025? Si nchi hii itaku ishakuwa majivu? Huyu hafai hata kwa kumalizia mwaka.
Duuh hiyo nchi ya ndani ya nyumba yako nini?!!

Mama ni kipenzi cha Watanzania....hulifuti hilo hataa

#KaziIendelee
 
Sisi huku tulipo tunasubiri upinzani wa kweli tupambane nao kwa hoja, sio huu ulianzishwa na TISS kwa kazi maalum (Waanzilishi wote wa upinzani TZ ni TISS)
 
Sisi huku tulipo tunasubiri upinzani wa kweli tupambane nao kwa hoja, sio huu ulianzishwa na TISS kwa kazi maalum (Waanzilishi wote wa upinzani TZ ni TISS)
Kama hadi sasa bado unaamini kwamba CHADEMA siyo upinzani wa kweli utakuwa unajidanganya.

Inawezekana, kwamba ilianzishwa kwa madhumuni kama hayo unayoyasema hapo, lakini mmeshindwa sasa kuimudu, mmeshindwa kuiondoa. Limekuwa jini mlilokuwa mmelifungia ndani ya chupa, sasa limeondoka huko, na hamjui jinsi ya kulirudisha ndani ya chupa tena!
 
Duuh hiyo nchi ya ndani ya nyumba yako nini?!!

Mama ni kipenzi cha Watanzania....hulifuti hilo hataa

#KaziIendelee
Ndugu,
Watanzania gani unaowasemea? Wanaolia na kusaga meno kwa tozo ovu kwenye mitandao? Au wale waliogomea chanjo ya covid 19?
 
Mungu awalaani hawa watu.
Tuwaombee waishi ili waone jinsi Mungu wa Haki anavyoenda kuibariki CDM na Watanzania tutakapoandika Katiba ya Wananchi.Kawaida yao huwa ni waoga ndiyo maana wanatumia nguvu nyingi bila akili.Fikiria wabunge walopo chini ya speaker Ndu guy na Betina.Wakiitwa watu kwenye akili nao watajitokeza?
Madai ya Katiba ni ya Wananchi wenyewe na siyo Mh.Mbowe ama CDM.Hao makamanda tunawakubali maana wanayo forum ya kufanikisha hilo.Haturudi nyuma tena kama walivyotuhadaa CCM na Kikwete na baadaye Magufuli kupitia Ilani ya 2015.Waliwalaghai Watanzania kuwa wataendeleza mchakato wa Katiba.
Katiba Mpya ni mwiba kwa CCM kwa kuwa wamezoea vya kunyonga!
 
Abubakar yupo "sehemu salama", siwezi kuyamwaga yote hapa, ila mnachezeshwa ngoma msiyoijua
 
Abubakar yupo "sehemu salama", siwezi kuyamwaga yote hapa, ila mnachezeshwa ngoma msiyoijua
Umekuwa mtu wa mipasho sasa na "hiyo ngoma" isiyokuwa na maana yoyote?
Naona ni kupoteza muda, huna la maana kulijadili hapa.

Huongezi thamani yoyote kwenye mjadala huu kwa hiyo mipasho ya siku zote.
 
Kila anayechezea haki za Watanzania automatically atakufa ndani ya miaka 6. Imethibitishwa.

Divine intervention!
 
Umekuwa mtu wa mipasho sasa na "hiyo ngoma" isiyokuwa na maana yoyote?
Naona ni kupoteza muda, huna la maana kulijadili hapa.

Huongezi thamani yoyote kwenye mjadala huu kwa hiyo mipasho ya siku zote.
Mnacheza ngoma ya CCM kila siku wapuuzi, 2025 tunaweza kuwapa Makamba ili muendelee kuwadekia barabara wana TISS
 
Kuna njia nyingi za kumuua panya 'there many ways to kill a rat '
 
Mkuu ongezea na jeshi litakuja kuwageuka CCM hawataamini,muda utaongea...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…