My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,306
- Thread starter
-
- #81
Mkuu achana na hilo toto la mwanamke malaya na msimbe,huwa hayana akili hayoNdugu,
Watanzania gani unaowasemea? Wanaolia na kusaga meno kwa tozo ovu kwenye mitandao? Au wale waliogomea chanjo ya covid 19?
Mbona kaka yake na baba yake mdogo Mbowe wamekufa?Unajua ni kwa nini Magufuli alikufa kabla ya muda wake? Unadhani muda wake ulifika?nyie mtakiona cha moto
Huyo Mwigulu imekuaje? Alifaulu?TUSIDANGANYANE KUWA KUIZUIA CHADEMA KUNASABABISHA MTU AFE. HUU NI UJINGA. HAKUNA ALIYEPAMBANA NA CHADEMA KAMA MWIGULU.HAKUNA. MI NAKWAMBIA.
We huoni kuwa anaishi? Au kwenye akili yako amekufa?Huyo Mwigulu imekuaje? Alifaulu?
Samia anaupiga mwingi kiutopolotoplo. Heshima yake inashuka kwa kasi ya kutisha. Hata goli hajui lipo wapi.Zoezi la kuiua CHADEMA alilianza Hayati Magufuli na kaondoka Duniani hajafanikiwa kuiua CHADEMA. Kwa maneno mengine rahisi, aliyetaka CHADEMA ife kafa yeye na kuiacha CHADEMA ikiwa hai.
Mbowe alikuwa hana tuhuma zozote za Ugaidi hapo kabla, lakini alipoanza vuguvugu la kudai Katiba Mpya mkamkamata na kumbambikia kesi ya kigaidi.
Police wanatoa hoja za kitoto za kuwafanya watu wote hawana akili. Eti walikuwa wakimchunguza na sasa wamepata ushahidi na kumkamata.
Swali kwa Police: Utamchunguzaje suspect huku akiwa huru? What if akitoroka?
Rais Samia, tunakuheshimu sana kama Rais wetu, lakini hatukuogopi. Tunayemwogopa ni mmoja tu, naye ni MUNGU.
Hakuna wa kututisha kuhusu kudai Katiba Mpya, tutaendelea kuidai kwa njia nyingi tofauti hadi tutaipata, na njia kubwa kuliko zote tumeanza kukushtakia kwa MUNGU. Kama utaweza kushindana na MUNGU basi CHADEMA itakufa, lakini kwa sababu Mungu huwa ni wa haki,atasimama kwenye haki.
Rais Samia, hautafanikiwa kwenye njama zako za kuiua CHADEMA, Mbowe siyo CHADEMA. Nyie mfanyeni vyovote vile mnavyojua, lakini mtakapoanza kulipa ghadhabu ya MUNGU msikimbiane humo.
Huwa mnajiona mna haki sana ya kufanya lolote, wakati ni ukuta, iko siku hamtavuka.
Ulitaka wote wafe siku moja?We huoni kuwa anaishi? Au kwenye akili yako amekufa?
Edwin Mtei aliikosea nini Chadema akafariki?Ulitaka wote wafe siku moja?
Mtei amekufa mwaka gani bwana mkubwa? Kama unajua unachoongea, au ni wale utopoloEdwin Mtei aliikosea nini Chadema akafariki?
Kwani Mwigulu anatakiwa afe mwaka gani na sasa atakufa mwaka gani?Mtei amekufa mwaka gani bwana mkubwa? Kama unajua unachoongea, au ni wale utopolo
Ndesamburo naye kwa nini amekufa na wakati hakuwahi taka ikwamisha chadema?Mtei amekufa mwaka gani bwana mkubwa? Kama unajua unachoongea, au ni wale utopolo
KAHABA wa feri amelaaniwa duniani na mbinguni.Mungu awalaani hawa watu.
Chadema ipo na itaendelea kuwepo, anayejaribu kuishambulia ataumiaZoezi la kuiua CHADEMA alilianza Hayati Magufuli na kaondoka Duniani hajafanikiwa kuiua CHADEMA. Kwa maneno mengine rahisi, aliyetaka CHADEMA ife kafa yeye na kuiacha CHADEMA ikiwa hai.
Mbowe alikuwa hana tuhuma zozote za Ugaidi hapo kabla, lakini alipoanza vuguvugu la kudai Katiba Mpya mkamkamata na kumbambikia kesi ya kigaidi.
Police wanatoa hoja za kitoto za kuwafanya watu wote hawana akili. Eti walikuwa wakimchunguza na sasa wamepata ushahidi na kumkamata.
Swali kwa Police: Utamchunguzaje suspect huku akiwa huru? What if akitoroka?
Rais Samia, tunakuheshimu sana kama Rais wetu, lakini hatukuogopi. Tunayemwogopa ni mmoja tu, naye ni MUNGU.
Hakuna wa kututisha kuhusu kudai Katiba Mpya, tutaendelea kuidai kwa njia nyingi tofauti hadi tutaipata, na njia kubwa kuliko zote tumeanza kukushtakia kwa MUNGU. Kama utaweza kushindana na MUNGU basi CHADEMA itakufa, lakini kwa sababu Mungu huwa ni wa haki,atasimama kwenye haki.
Rais Samia, hautafanikiwa kwenye njama zako za kuiua CHADEMA, Mbowe siyo CHADEMA. Nyie mfanyeni vyovote vile mnavyojua, lakini mtakapoanza kulipa ghadhabu ya MUNGU msikimbiane humo.
Huwa mnajiona mna haki sana ya kufanya lolote, wakati ni ukuta, iko siku hamtavuka.
Mwigulu mbona kaishakufa kitamboTUSIDANGANYANE KUWA KUIZUIA CHADEMA KUNASABABISHA MTU AFE. HUU NI UJINGA. HAKUNA ALIYEPAMBANA NA CHADEMA KAMA MWIGULU.HAKUNA. MI NAKWAMBIA.
Real? So huyu waziri ni pacha wake? ππππππ Halafu watu wanataka bjangi ihalalishwe.Mwigulu mbona kaishakufa kitambo
Hili la magufuli kufa na kuiacha chadema hai linawaumiza sanaUnaogopa kufa? Kifo is there kwa kila mtu. Mnasubiriwa field tarehe 5. Ila Samia ana madharau sana, na mitusi yenu yote hata hawajibu, anapiga kazi zake tu
Dogo naandika kifalsafa zaidi std7 huwezi nielewaReal? So huyu waziri ni pacha wake? ππππππ Halafu watu wanataka bjangi ihalalishwe.
Usitumie kijambio kufikiri,Mzee Mtei yupo labda kama mna mpango wa kwenda kuinyofoa roho yake leo maana mikono yenu imejaa damu isiyokuwa na hatiaEdwin Mtei aliikosea nini Chadema akafariki?