Rais Samia hawezi kujinasua kukamatwa Heche na kuwekwa gerezani Tundu Lissu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Tusimumunye Maneno: Rais Samia hawezi kujinasua kukamatwa kwa John Heche na kuwekwa gerezani Lissu .

Tusije kujidanganya sijui vyomba vya usalama sijui nini ukweli ndiyo huo. Tofauti na Magufuli ni kwamba huyu Mama anajificha ndani kama vile sio yeye!!! Magufuli alikuwa yuko wazi zaidi kwenye ukandamizi huyu Mama Anacheka na kujifanya yeye hajahusika
 
Fala Work!! Mbaavu zako!!
 
Kiufupi sio rais Samia.
Ni Abdul.. kila kitu kila mission inafanywa na Abdul
 
Ana PhD ya unafiki.
 
Kwann ss mama anafanya hvyo πŸ€”
 
The lady is running amok and out of control courtesy of smelly Msoga fish mongers.
 
Tufanye Sawa kwani Kuna shida?
 
Mtu uropoke utafanya uasi halafu usingizie Mama Samia. Acheni upuuzi. Heche naye kaenda Kkoo kufanya mkutano haramu ili kupima nguvu ya dola. Nyie wafuasi wake fanyeni ule uasi mliosema ili muwatoe jela.
 
Na Magufuli hakuwahi kumfunga yoyote kati ya viongozi wakubwa wa Chadema,yeye ilikuwa vitisho tu
 
Heche hajakamatwa aliachiwa palepale kaamua tu kujifungia ndani ili aongelewe kidogo
 
Na kuna mbunge kawaambia km kazi wamefanya wanaogopa nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…