G
Ila dar wamejitahidi wamehoji shida nn, yaani ht kufundisha wananchi hamtaki? Na Sheria za mkutano zimefuatwa?Wangekuwa Arusha wasingethubutu kumkamata hao askari lazima wangekula kichapoo. Abdul Na mchengerwa hawatumii akili.
Abdul ndio nani. Maana nasikia tu jina.Kiufupi sio rais Samia.
Ni Abdul.. kila kitu kila mission inafanywa na Abdul
| Kweli je | ||
Wee nani amekuambiaTusimumunye Maneno: Rais Samia ndiyo kawaweka gerezani Lissu na Heche. Tusije kujidanganya sijui vyomba vya usalama sijui nini ukweli ndiyo huo. Tofauti na Magufuli ni kwamba huyu Mama anajificha ndani kama vile sio yeye!!! Magufuli alikuwa yuko wazi zaidi kwenye ukandamizi huyu Mama ni mwongo mwongo kwenye mambo mengi. Anacheka na kujifanya yeye hajahusika kumbe yeye ndiye katoa maagizo yote
Acha masiharaAbdul ndio nani. Maana nasikia tu jina.
Naomba kujuzwa.
Kama unavoskia jina la dorryAbdul ndio nani. Maana nasikia tu jina.
Naomba kujuzwa.
Wewe wasema. Ukichukua data za youtube uta conclude hivyoo.Arusha sasa hivi wanamsikikiza Makonda kuliko Lema.
Ndiyo ukweli maana ndiyo amiri jeshi mkuu, nenda kafungue mashtaka. Acheni viherehere nchi ina uongozi mkaitii mamlaka, hamtaki mtalazimishwa kuitii.Tusimumunye Maneno: Rais Samia ndiyo kawaweka gerezani Lissu na Heche. Tusije kujidanganya sijui vyomba vya usalama sijui nini ukweli ndiyo huo. Tofauti na Magufuli ni kwamba huyu Mama anajificha ndani kama vile sio yeye!!! Magufuli alikuwa yuko wazi zaidi kwenye ukandamizi huyu Mama ni mwongo mwongo kwenye mambo mengi. Anacheka na kujifanya yeye hajahusika kumbe yeye ndiye katoa maagizo yote
Rais ajifiche? Mnavuta bangi za wapi?Tusimumunye Maneno: Rais Samia ndiyo kawaweka gerezani Lissu na Heche. Tusije kujidanganya sijui vyomba vya usalama sijui nini ukweli ndiyo huo. Tofauti na Magufuli ni kwamba huyu Mama anajificha ndani kama vile sio yeye!!! Magufuli alikuwa yuko wazi zaidi kwenye ukandamizi huyu Mama ni mwongo mwongo kwenye mambo mengi. Anacheka na kujifanya yeye hajahusika kumbe yeye ndiye katoa maagizo yote
Ni kwa sababu ajenda ya NRNE haiwagusi wananchi; CDM wanatakiwa kuja na ajenda inayogusa wananchi ili wananchj wawe sehemu ya agenda hiyo. sio ujinga kuplan upya; ukiona kiongozi mkuu wa upinzani anakamatwa kariakoo tena kama kuku ujue the pitch is not right. TEC pia wana la kujifunzaWaTz uoga umezid nilichogundua njaa inasababsh uhur usiwepo..yaaaan kkoo watu wanamtizam mtu anachukuliw na polic mzahmzah hamna ht kelel duuh
Kelele wampigie nani, we ulikuwa wapi? Sk nyingine uongozane nao halafu upige keleleWaTz uoga umezid nilichogundua njaa inasababsh uhur usiwepo..yaaaan kkoo watu wanamtizam mtu anachukuliw na polic mzahmzah hamna ht kelel duuh
Acha kuwaza upumbavu, Arusha ipi.Wangekuwa Arusha wasingethubutu kumkamata hao askari lazima wangekula kichapoo. Abdul Na mchengerwa hawatumii akili.
Kina Mch. msigwa na wenzao nafikiri walifungwa...Na Magufuli hakuwahi kumfunga yoyote kati ya viongozi wakubwa wa Chadema,yeye ilikuwa vitisho tu
Usiseme Abdul sema samia Abdul Hana nguvu kuliko samia?Kiufupi sio rais Samia.
Ni Abdul.. kila kitu kila mission inafanywa na Abdul
Uasi ni nini?Mtu uropoke utafanya uasi halafu usingizie Mama Samia. Acheni upuuzi. Heche naye kaenda Kkoo kufanya mkutano haramu ili kupima nguvu ya dola. Nyie wafuasi wake fanyeni ule uasi mliosema ili muwatoe jela.
Aaaah kumbe?! Bas sawa.Kama unavoskia jina la dorry
Kheeeh kumbee? Ana cheo gani huyo Abdul? Mbna simfahamu?Acha masihara
Humjui mtt wa mama kizimkazi
Yaani ni km Rizmoko kipindi Cha jk