Ogopa sana mtu kama huyo,ndiyo wanawake wanaongoza kwa uchawiTusimumunye Maneno: Rais Samia hawezi kujinasua kukamatwa kwa John Heche na kuwekwa gerezani Lissu .
Tusije kujidanganya sijui vyomba vya usalama sijui nini ukweli ndiyo huo. Tofauti na Magufuli ni kwamba huyu Mama anajificha ndani kama vile sio yeye!!! Magufuli alikuwa yuko wazi zaidi kwenye ukandamizi huyu Mama Anacheka na kujifanya yeye hajahusika
Nenda google andika james delicious picha zitakazokuja ndio huyoKheeeh kumbee? Ana cheo gani huyo Abdul? Mbna simfahamu?
Em tuma picha yake km ipo? Lol
Hovyoo, zee zima unaongea ujinga, km huna cha kuandika si ukae kimya. Mxxxiiiieeeew.Nenda google andika james delicious picha zitakazokuja ndio huyo
🤣🤣Coca nimecheka kweli uko bize mpk humjui AbdulKheeeh kumbee? Ana cheo gani huyo Abdul? Mbna simfahamu?
Em tuma picha yake km ipo? Lol
Huyu Abdul nasikia sikia tyuuh, sikuwahi jua km ni kijana wa mama, yule mkwe mwenye kifua kipana namfahamu haswaa.🤣🤣Coca nimecheka kweli uko bize mpk humjui Abdul
Sina mwaya labda google
Kuna abduli halafu Kuna mkwe wa mama yule waziri🤣
Tunaishi kwenye jamii ambayo mafuvu yaliyalishaondolewa akili jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe, jamii ya kanyanga twendeWaTz uoga umezid nilichogundua njaa inasababsh uhur usiwepo..yaaaan kkoo watu wanamtizam mtu anachukuliw na polic mzahmzah hamna ht kelel duuh
Nature ya wadanganyika Kuna wa kufanya uasi ? Wote wenye akili timamu ilikua ni kumwambia Heche inaitajika KITUONIMtu uropoke utafanya uasi halafu usingizie Mama Samia. Acheni upuuzi. Heche naye kaenda Kkoo kufanya mkutano haramu ili kupima nguvu ya dola. Nyie wafuasi wake fanyeni ule uasi mliosema ili muwatoe jela.
Samia hafai kuendelea kuwa Rais ...nadhani ike kanuni ya Waisrael ya👉 ni bora mtu mmoja afe kwa ajili ya taifa ni muhimu kuzingatiwa hekima yake....tanzania tuna kwenda kutumbukizwa shimoni.. faida pekee ya samia ni kufanikishwa anguko la ccmTusimumunye Maneno: Rais Samia hawezi kujinasua kukamatwa kwa John Heche na kuwekwa gerezani Lissu .
Tusije kujidanganya sijui vyomba vya usalama sijui nini ukweli ndiyo huo. Tofauti na Magufuli ni kwamba huyu Mama anajificha ndani kama vile sio yeye!!! Magufuli alikuwa yuko wazi zaidi kwenye ukandamizi huyu Mama Anacheka na kujifanya yeye hajahusika
Silence surrenders public responsibilitiesNature ya wadanganyika Kuna wa kufanya uasi ? Wote wenye akili timamu ilikua ni kumwambia Heche inaitajika KITUONI
Unadhani HECHE angesinge enda..WATU WANAKULA VIZURI in deep Mimi sina NJAA nashukuru sanaa Mungu nimeikimbiza kilometer nyingi Sanaaa.
Hata kuanza sufuri siogopi maana Nina MAARIFA sio vyeti..
?? Kwaio unadhani wanacho kipigania wanamabadiliko/ mageuzi unaona ni sawa au sio sawa..sio sahihi kwamba mama Samia ni mzalendo kuliko watanganyika wenyewe?
R.i.p martin Luther king Jr.
Brain 🧠 🧠 your eye's
Fala ni wewe,huna akiliFala Work!! Mbaavu zako!!
Asibgeweza kumfunga Msigwa,yule aliwekwa rokapu tu,wala sio gerezani kama Mbowe na Lissu kipindi hiki cha SamiaKina Mch. msigwa na wenzao nafikiri walifungwa...
Halafu huyo Abdul atakuja kuwaoa siku moja na mwenyekiti wenu, shauri yenu!!! Maana si kwa kumtajataja hukuKiufupi sio rais Samia.
Ni Abdul.. kila kitu kila mission inafanywa na Abdul
Mzee jii nchi sio yako.Halafu huyo Abdul atakuja kuwaoa siku moja na mwenyekiti wenu, shauri yenu!!! Maana si kwa kumtajataja huku