Rais Samia hawezi kushinda urais 2025 kirahisi kama Wakurugenzi na Tume ya Uchaguzi watadhibitiwa

Kwa KATIBA iliyopo, Hata stiv Nyerere akisimamishwa na chama Dola, Mkt wa tume akishamtangaza, hayupo wa kupinga.

Msijidanganye, KATIBA mpya ni muhimu ipatikane kabla ya uchaguzi, ni kheri UCHAGUZI usogezwe mbele tupate Katiba mpya. Amen
Interesting. Point ya maana sana hii. UKWELI ni kwamba hakuna haja ya uchaguzi mkuu 2025. Hakuna asiyejua yatakayokuwa matokeo tukiendelea na status quo. More of the same, beyond half a century of existence of the nation, is utter MADNESS.

Heri Samia apewe hadi 2030 kwa maelewano ya kitaifa kwamba kipindi chote hicho kitatumika kurekebisha katiba, sheria na mfumo mzima wa utawala wa nchi (Rais kuwa chini ya utawala wa sheria, Bunge huru, Mahakama huru, Tume ya uchaguzi huru, Taasisi huru za umma (autonomous), na namna ya usimamizi makini wa vyombo vya dola chini ya utawala wa kiraia.

Tukishindwa hilo ni bora tuendelee na maisha yetu kama yalivyo bila kupoteza muda na nguvu kwenye porojo za kisiasa.
 

Bajeti ni mipango tu, hizo fedha zitaenda kweli, na zitaenda kwa watu husika? Hata kama ingekuwa hivyo, bado kupiga kura hakusisimuliwi na mambo hayo. Uchaguzi wa 2015 ulikuwa na wapiga kura wengi, kwani hao walisisimuliwa na bajeti ya kilimo?
 
Uchaguzi tulio nao ni embezzlement! Huwezi kumteua mtu halafu huyo huyo ndio akutangaze wewe mshindi!huu ni ushamba kwa mahali dunia ilipofikia!

Naunga mkono hoja uchaguzi usiwepo hadi 2030 tushughulikie katiba mpya rasimu ya Warioba!! mbunge asiwe Waziri na awajibishwe na wanajimbo sio chama!
Wakuu wa wilaya wasiwepo hawana kazi.
Naibu Waziri hawana kazi wasiwepo.
Viti maalum visiwepo hawana kazi.

Rais pia ashtakiwe akiwa madarakani Nyerere si hayupo!!
 
Kwa wagombea gani wa opposition? Mama Samia atapita kwa kura nyingi tu hata kama kuna tume huru na ya haki
 

CCM wanafanya mapinduzi ya kimtazamo lakini vyombo vya dola ndio kinga yao! Kiongozi anaweza kuendelea kukaa madarakani, lakini watu wakawa na kiu ya wazi ya mageuzi, na mageuzi hayo hayawezi kuletwa na CCM ambayo tayari imeendelea kukaa madarakani tena kwa kulazimisha waziwazi. Nakuhakikishia hata CCM ifanye mabadiliko gani ya Hadaa watu wameshachoka kuwa na chama hicho hicho muda wote.
 
Kwa wagombea gani wa opposition? Mama Samia atapita kwa kura nyingi tu hata kama kuna tume huru na ya haki

Wakosee iwepo katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, hata kama mama atashinda, kwanza atashinda kwa margin ndogo, na huko bungeni ni wazi atakosa 2/3 ya kuifanya CCM iamue chochote itakacho.
 
Na analijua hilo vizuri. Ndio maana ukiongelea Tume huru na Katiba mpya, mshono unamuuma na mshipa kuvimba!
 
Wakosee iwepo katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, hata kama mama atashinda, kwanza atashinda kwa margin ndogo, na huko bungeni ni wazi atakosa 2/3 ya kuifanya CCM iamue chochote itakacho.
what should be done kuwafanya wakosee?
 
Wewe punguani kweli wauza karanga ndiyo unaowaona watu wa hovyp?
 
Labda waandamane lakini siyo kupitia kinywa cha Mahera na wenzie...
We are going to write "The end of an era" Let us wait and see. Lowest income concerners are not well satisfied with the current situation.

CC. Joyce Banda
 
Mi huwa najiuliza, siku mwenyekiti wa Tume akimtangaza mtu ambaye hakugombea kabisa sijui itakuwaje? Maana akishatangaza hakuna wa kupinga chini ya katiba hii. Mathalani akimtangaza mke wake ama mtoto wake kuwa ndiye Rais, itakuwaje?
Kwa KATIBA iliyopo, Hata stiv Nyerere akisimamishwa na chama Dola, Mkt wa tume akishamtangaza, hayupo wa kupinga.

Msijidanganye, KATIBA mpya ni muhimu ipatikane kabla ya uchaguzi, ni kheri UCHAGUZI usogezwe mbele tupate Katiba mpya. Amen
 
Nani Awadhibiti.?

Wakati wanachaguliwa na Watu wa Juu yao zaidi
 
Kwahyo hapa alikuwa anatoa wito au Naye akipiga kampeni..!! maana naona ni kampeni tu hizi akimpigia mwenda zake.. Senge sana huyo mkurugenzi, 2025 akiendelea kuwa kwenye kiti Huyu jamaa mweusi kama Samaki aliyeungua kwenye chungu sipigi kura yangu kabisa Bora huo mda nikaupoteze kupalilia Orchard yangu
 
CCM haipo kabisa kwa mema Bali ni kwa dili chafu
 
hakika mkuu welevu tumekuelewa wapumbavu wacha walalamike ugumu halafu wamekaa vijiweni haya ndiyo maisha yetu unamlalamikia nani?
 
Hao CDM pia hawana jeuri wala ubunifu wa kupewa nchi waiongoze. CCM ni chama peke ambacho kina uhai katika kipindi kile uchaguzi haupo, kimeshuka mpaka chini na kipo hai.

Usidanganywe na haya unayoyaona katika vyombo vya habari, CCM wapo mpaka chini wanao mtandao mpana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…