Planet FSD
JF-Expert Member
- Oct 24, 2019
- 455
- 948
Haha dah huyu jamaa😂Tujikumbushe kidogo 😁😁😁
View attachment 2231225
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha dah huyu jamaa😂Tujikumbushe kidogo 😁😁😁
View attachment 2231225
Interesting. Point ya maana sana hii. UKWELI ni kwamba hakuna haja ya uchaguzi mkuu 2025. Hakuna asiyejua yatakayokuwa matokeo tukiendelea na status quo. More of the same, beyond half a century of existence of the nation, is utter MADNESS.Kwa KATIBA iliyopo, Hata stiv Nyerere akisimamishwa na chama Dola, Mkt wa tume akishamtangaza, hayupo wa kupinga.
Msijidanganye, KATIBA mpya ni muhimu ipatikane kabla ya uchaguzi, ni kheri UCHAGUZI usogezwe mbele tupate Katiba mpya. Amen
Zipo sababu nyingi zenye kuchangia upungufu wa wapiga kura, sio ajabu uchaguzi ujao idadi ya wapiga kura ikaongezeka kulinganisha na miaka iliyopita.
Bajeti ya kilimo kutoka bilioni 200 mpaka bilioni 700 ni ongezeko kubwa sana, linakwenda kugusa sekta nyeti sana, inayogusa maisha ya watanzania wengi.
Uchaguzi tulio nao ni embezzlement! Huwezi kumteua mtu halafu huyo huyo ndio akutangaze wewe mshindi!huu ni ushamba kwa mahali dunia ilipofikia!Interesting. Point ya maana sana hii. UKWELI ni kwamba hakuna haja ya uchaguzi mkuu 2025. Hakuna asiyejua yatakayokuwa matokeo tukiendelea na status quo. More of the same, beyond half a century of existence of the nation, is utter MADNESS.
Heri Samia apewe hadi 2030 kwa maelewano ya kitaifa kwamba kipindi chote hicho kitatumika kurekebisha katiba, sheria na mfumo mzima wa utawala wa nchi (Rais kuwa chini ya utawala wa sheria, Bunge huru, Mahakama huru, Tume ya uchaguzi huru, Taasisi huru za umma (autonomous), na namna ya usimamizi makini wa vyombo vya dola chini ya utawala wa kiraia.
Tukishindwa hilo ni bora tuendelee na maisha yetu kama yalivyo bila kupoteza muda na nguvu kwenye porojo za kisiasa.
Kwa wagombea gani wa opposition? Mama Samia atapita kwa kura nyingi tu hata kama kuna tume huru na ya hakiPamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.
Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.
CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio watamnyima kura. Changanya na raia wa kawaida ambao tangu arithi urais kwao ni tabu tu maana hata wauza karanga wanamchukia kwa magumu wanayopata.
Sasa hapo ndio ashinde Urais?
Hata CDM sio wa kizazi cha sasa wanapitwa na wakati kila kukicha. Mbinu zao hazibadiliki bora hata CCM wanao uzoefu wa kushughulika na watu wakiwa na jukumu la kuongoza nchi, kulinganisha na CDM.
Uongozi wa CDM tangu 2004 ni ule ule, miaka 18 sasa endeleeni kujidanganya kwamba nyinyi ni chaguo la kizazi kipya wakati huo CCM wanafanya mapinduzi ya kimtazamo.
Kwa wagombea gani wa opposition? Mama Samia atapita kwa kura nyingi tu hata kama kuna tume huru na ya haki
Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.
Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.
CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio watamnyima kura. Changanya na raia wa kawaida ambao tangu arithi urais kwao ni tabu tu maana hata wauza karanga wanamchukia kwa magumu wanayopata.
Sasa hapo ndio ashinde Urais?
what should be done kuwafanya wakosee?Wakosee iwepo katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, hata kama mama atashinda, kwanza atashinda kwa margin ndogo, na huko bungeni ni wazi atakosa 2/3 ya kuifanya CCM iamue chochote itakacho.
Wewe punguani kweli wauza karanga ndiyo unaowaona watu wa hovyp?Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.
Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.
CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio watamnyima kura. Changanya na raia wa kawaida ambao tangu arithi urais kwao ni tabu tu maana hata wauza karanga wanamchukia kwa magumu wanayopata.
Sasa hapo ndio ashinde Urais?
We are going to write "The end of an era" Let us wait and see. Lowest income concerners are not well satisfied with the current situation.
CC. Joyce Banda
Kwa KATIBA iliyopo, Hata stiv Nyerere akisimamishwa na chama Dola, Mkt wa tume akishamtangaza, hayupo wa kupinga.
Msijidanganye, KATIBA mpya ni muhimu ipatikane kabla ya uchaguzi, ni kheri UCHAGUZI usogezwe mbele tupate Katiba mpya. Amen
Nani Awadhibiti.?Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.
Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.
CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio watamnyima kura. Changanya na raia wa kawaida ambao tangu arithi urais kwao ni tabu tu maana hata wauza karanga wanamchukia kwa magumu wanayopata.
Sasa hapo ndio ashinde Urais?
HAIJAWAHI KUWA NGUMU WALA HAIJAWAHI KUWA RAHISI KAMA HUJISHUGHURISHI NDUGU SUBIRI KUSHUGHURIKIWA TUKwamba unakataa mtaani hali sio ngumu?
hakika mkuu welevu tumekuelewa wapumbavu wacha walalamike ugumu halafu wamekaa vijiweni haya ndiyo maisha yetu unamlalamikia nani?Wenye uelewa mdogo ni wachache, wengi wa watakaopiga kura ni wale wanaofaidika moja kwa moja na mapinduzi ya kilimo yanakwenda kufanyika nchini.
Wengi wa watakaopiga kura ni wale wanaojishughulisha na maisha halisi huko mtaani. Mimi na wewe wa mitandaoni huwa hatuoni maana ya kupiga kura, tunaishia kulalamika huku tukizeeka na malalamiko yetu.
Hao CDM pia hawana jeuri wala ubunifu wa kupewa nchi waiongoze. CCM ni chama peke ambacho kina uhai katika kipindi kile uchaguzi haupo, kimeshuka mpaka chini na kipo hai.CCM wanafanya mapinduzi ya kimtazamo lakini vyombo vya dola ndio kinga yao! Kiongozi anaweza kuendelea kukaa madarakani, lakini watu wakawa na kiu ya wazi ya mageuzi, na mageuzi hayo hayawezi kuletwa na CCM ambayo tayari imeendelea kukaa madarakani tena kwa kulazimisha waziwazi. Nakuhakikishia hata CCM ifanye mabadiliko gani ya Hadaa watu wameshachoka kuwa na chama hicho hicho muda wote.