Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ni kweli kabisa huyu alikua co manager na mwenzake PolepoleTujikumbushe kidogo aliekuwa manager kampeni wa CCM😁😁😁
View attachment 2231225
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa huyu alikua co manager na mwenzake PolepoleTujikumbushe kidogo aliekuwa manager kampeni wa CCM😁😁😁
View attachment 2231225
Pole kwako Sukuma gang member, kaa zako kwa kutulia kwani sidhani kama kushinda/kushindwa kwake kunakuhusu.Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.
Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.
CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio watamnyima kura. Changanya na raia wa kawaida ambao tangu arithi urais kwao ni tabu tu maana hata wauza karanga wanamchukia kwa magumu wanayopata. Sasa hapo ndio ashinde urais?
Sasa mbona mtu kama Jiwe alikuwa Rais?Hata yeye sijui anatoa wapi matumaini ya kushinda! Hata kama wapiga Kura wangekuwa wale wa Enzi ya Adam na Hawa bsdo asingeshinda Uchaguzi wowote ule makini. Nchi hii wajinga wengi sana. Kama tusingekuwa Tunachagua maraisi wa kukamilisha mihula Bali wale wa kuchakata na kuuhuisha Maono ya Nchi na matamanio ya Wananchi basi huyu wala asingechaguliwa na wala asingejaribu hata kuwekeza mawazo Yake katika nafasi hizo.
Mtaani kufanya nini wakati kuna tools za kufanya hayo kama JamiiForums?Ingia mitaani fanya sampling
Stress hizo anatakiwa apewe dawa ya Mkuyati ili atibiwe.Kwani wajua jinsia yake mpaka wamwita mama? Au hoja zimekuishia? Wasukuma bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi ni stori za Sukuma gang na Chadomo kujifariji..Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.
Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.
CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio watamnyima kura. Changanya na raia wa kawaida ambao tangu arithi urais kwao ni tabu tu maana hata wauza karanga wanamchukia kwa magumu wanayopata. Sasa hapo ndio ashinde urais?
Nchi yangu TANZANIA imepitia wakati mgumu sana ktk siasa zake, Chama Dola pia kimegawanyika makundi makundi,bt yenye nguvu ni makubwa mawili.Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.
Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.
CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio watamnyima kura. Changanya na raia wa kawaida ambao tangu arithi urais kwao ni tabu tu maana hata wauza karanga wanamchukia kwa magumu wanayopata. Sasa hapo ndio ashinde urais?
Kwa KATIBA iliyopo, Hata stiv Nyerere akisimamishwa na chama Dola, Mkt wa tume akishamtangaza, hayupo wa kupinga.Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.
Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.
CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio watamnyima kura. Changanya na raia wa kawaida ambao tangu arithi urais kwao ni tabu tu maana hata wauza karanga wanamchukia kwa magumu wanayopata.
Sasa hapo ndio ashinde urais?
Hapo kwanza ncheke [emoji1][emoji1][emoji38][emoji28][emoji1787]Wewe kaa Kando sisi tutawadhibiti
Mawazo na uhalisia ni vitu viwili tofautiPamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.
Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.
CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio watamnyima kura. Changanya na raia wa kawaida ambao tangu arithi urais kwao ni tabu tu maana hata wauza karanga wanamchukia kwa magumu wanayopata.
Sasa hapo ndio ashinde urais?
Wananchi wa kawaida labda umaanishe hawa wanaoshinda JF wakiandika maoni yao, lakini hao wa huko chini watampigia kura tena nyingi sana.Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.
Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.
CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio watamnyima kura. Changanya na raia wa kawaida ambao tangu arithi urais kwao ni tabu tu maana hata wauza karanga wanamchukia kwa magumu wanayopata.
Sasa hapo ndio ashinde urais?
Dunia nzima hakuna nchi ambayo pesa inagawiwa mitaani. Huyu anapiga kelele akifurahisha nafsi yake.ndugu tupo mitaani kwani nazungumza kutoka wapi? yaani kila mtu yupo busy na mambo yake ya kutafuta hela wewe unaonekana huna cha kufanya na huna chakufanya kwasababu ni mvivu unasubiri uletewe hakuna hela rahisi ndugu hata ukiangalia utawala wote uliopita hakuna aiyekuwa anagawa hela
Anaanzisha uzi yeye halafu anaonekana kituko yeye mwenyewe.Kwani wajua jinsia yake mpaka wamwita mama? Au hoja zimekuishia? Wasukuma bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipe mwaka ambao ccm imeshinda uchaguzi wa urais..kwa haki na usawa..Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.
Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.
CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio watamnyima kura. Changanya na raia wa kawaida ambao tangu arithi urais kwao ni tabu tu maana hata wauza karanga wanamchukia kwa magumu wanayopata.
Sasa hapo ndio ashinde urais?
Nchi ipi imeharibiwa na imeharibiwa kwa namna gani wewe chawa wa mafisadi.Nyie SUKUMA Gang hatuwap nchi msubir miaka 200
Sio Samia tu hata jiwe asingeshindaPamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.