PostGE2025 Rais Samia hayupo kwenye orodha ya Forbes ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani kwa mwaka 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Kwa haya matukio yake na maneno yake mabaya, hafai kabisa kuwa sehemu kama hii, naona hata mwaka 2024 ni kama walimpa tu!
===================
Samia hakuwemo kwenye orodha ya Forbes

Rais wa Tanzania 🇹🇿, Samia Suluhu Hassan, hakuwemo kwenye orodha ya Forbes ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani kwa mwaka 2025. Hata hivyo, Rais wa Namibia 🇳🇦 Netumbo Nandi-Ndaitwah, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 🇨🇩 Judith Suminwa, pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) 🇳🇬 Ngozi Okonjo-Iweala, waliingia kwenye orodha hiyo.

Viongozi wengine mashuhuri kutoka Afrika waliopo kwenye orodha ni pamoja na:
  • Mpumi Madisa kutoka Afrika Kusini, ambaye ni mwanamke wa kwanza mweusi kuongoza kampuni iliyoorodheshwa kwenye makampuni 40 makubwa katika Soko la Hisa la Johannesburg (JSE).
  • Mo Abudu kutoka Nigeria, mjasiriamali wa vyombo vya habari na mwanzilishi wa EbonyLife Media.
  • Mary Vilakazi kutoka Afrika Kusini, mhasibu aliyeidhinishwa na mmoja wa wakurugenzi wakuu wa kifedha wanaoongoza nchini humo. Ndiye mwanamke wa kwanza na mwanamke mweusi wa kwanza kuongoza FirstRand Group, kampuni kubwa zaidi ya huduma za kifedha Afrika Kusini kwa thamani ya soko.
 
mabeburu ukiwapiga za utosi ndio zao ndugu wala usishangae
 
Mange yupo nafasi yangapi? Na Maria je? Vipi kuhusu Hilda?? Au ni wanaume?
 
Kwa haya matukio yake na maneno yake mabaya, hafai kabisa kuwa sehemu kama hii, naona hata mwaka 2024 ni kama walimpa tu!
===================
Samia hakuwemo kwenye orodha ya Forbes

Rais wa Tanzania 🇹🇿, Samia Suluhu Hassan, hakuwemo kwenye orodha ya Forbes ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani kwa mwaka 2025. Hata hivyo, Rais wa Namibia 🇳🇦 Netumbo Nandi-Ndaitwah, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 🇨🇩 Judith Suminwa, pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) 🇳🇬 Ngozi Okonjo-Iweala, waliingia kwenye orodha hiyo.

Viongozi wengine mashuhuri kutoka Afrika waliopo kwenye orodha ni pamoja na:
  • Mpumi Madisa kutoka Afrika Kusini, ambaye ni mwanamke wa kwanza mweusi kuongoza kampuni iliyoorodheshwa kwenye makampuni 40 makubwa katika Soko la Hisa la Johannesburg (JSE).
  • Mo Abudu kutoka Nigeria, mjasiriamali wa vyombo vya habari na mwanzilishi wa EbonyLife Media.
  • Mary Vilakazi kutoka Afrika Kusini, mhasibu aliyeidhinishwa na mmoja wa wakurugenzi wakuu wa kifedha wanaoongoza nchini humo. Ndiye mwanamke wa kwanza na mwanamke mweusi wa kwanza kuongoza FirstRand Group, kampuni kubwa zaidi ya huduma za kifedha Afrika Kusini kwa thamani ya soko.
Forbes? Who are they?
 
Back
Top Bottom