PostGE2025 Rais Samia: Hii ni ripoti ya Rais, aliyeunda Tume ni Rais, wasitokee watu wengine wakadai ownership

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais Samia amesema; "Mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais. Aliyeunda tume ni Rais na ripoti yote hii ni ya Rais. Kwa hiyo, wasitokee watu wengine wakadai ownership ya ripoti hii, ni ripoti ya Rais. Nilisema tume za huko nyuma zilikuwa zinabanwa kimyakimya, mimi nimeamua tuambizane, lakini ripoti ni mali ya Rais."

Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.

"Tumesikia masuala yaliyobainishwa na tume pamoja na mapendekezo kwa muhtasari. Lakini mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais.

Aliyeunda tume ni Rais, na ripoti yote hii ni ya Rais. Kwa hiyo, wasitokee watu wengine wakadai ownership (umiliki) wa ripoti hii. Ni ripoti ya Rais.

Nilisema, tume za huko nyuma zilikuwa zinabanwa kimyakimya. Mimi nimeamua tuambizane, lakini ripoti ni mali ya Rais."
 
Anatuchanganya sasa Tume ni ya Rais, wananchi au Serikali...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…