Muda sio mrefu lini?. Mnadanganyana sana humu mitandaoni.Tatizo la huyu mama ni ile dhana ya kujiona kuwa yuko juu ya kila mtu duniani, achilia mbali ndani ya nchi. Anaongea chochote kinachomjia akilini bila kujali au kutumia akili. Hata hivyo, muda si mrefu atakumbana na matokeo ya kauli na matendo yake.
Hujamfahamu, akili 0 kabisa weweHahahaaa this woman
Kwa hiyo aliiunda tume ili imfanyie kazi ya kumsafisha.
😄Hahahaaa this woman
Kwa hiyo aliiunda tume ili imfanyie kazi ya kumsafisha.
Rais Samia amesema; "Mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais. Aliyeunda tume ni Rais na ripoti yote hii ni ya Rais. Kwa hiyo, wasitokee watu wengine wakadai ownership ya ripoti hii, ni ripoti ya Rais. Nilisema tume za huko nyuma zilikuwa zinabanwa kimyakimya, mimi nimeamua tuambizane, lakini ripoti ni mali ya Rais."