Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Huwezi kuamini tupo uwanja wa ndege tangu asubuhi tunasubiri ndege ya ATCL mpaka sasa ilikuwa tuondoke saa tano asubuhi wakasogeza mpaka saa tisa now wanasema mpaka tena saa kumi na mbili.
Watu wapo na watoto wanaliaa, wengine tulikuwa tunaenda msibani tumeshachelewa, wengine wana biashara zao na zimeshabumba muda huu.
Nadhani ndo madhara ya kukosa ushindani kwenye biashara.
Yaani (Monopolist) aliyeiondoa fast jet Mungu anamuona.