Mwanga Mkali
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,302
- 2,473
Wavivu wa kufikiria ni kutupa lawama tu kwa kila kitu. PatheticAdui mkubwa wa uchumi na ustawi wa Taifa letu, kwa matendo alikuwa ni marehemu, lakini kwa maneno aliwahadaa wajinga, kuwa anajenga uchumi.
Fastjet toka Mwanza - Dar kulikuwa na ticket mpaka za sh 80,000 return. Alipowafukuza Fastjest, ATCL tocket toka Mwanza mpaka Dar sh 300,000 - sh 600,000. Hivi kwenye mazingira hayo, marehemu alikuwa anawapenda watanzania au alikuwa anawakomoa?