Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Wewe Upo Kigoma airport
Kuna nini huko Kigoma AirPort?
ATCL ni trash!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Upo Kigoma airport
Tunampokea Tundu LissuKuna nini huko Kigoma AirPort?
ATCL ni trash!!
Always one timeThere is no hurry in Africa, relax!
Kuna umuhimu wa kuifumua Board na Management ya ATCL haraka iwezekanavyo kabla serikali haijaingiza fedha nyingine za walipa kodi humo!!!
Bila shaka huku akiangalia ile chaneli yetu pendwa ya utalii au TBC na kutafuna korosho🤣Hahaha..kwamba aendelee kupata sharubati(juice) hapo airport lounge sio?
Shujaa mwenda zake😅😅😅Huwezi kuamini tupo uwanja wa ndege tangu asubuhi tunasubiri ndege ya ATCL mpaka sasa ilikuwa tuondoke saa tano asubuhi wakasogeza mpaka saa tisa now wanasema mpaka tena saa kumi na mbili.
Watu wapo na watoto wanaliaa, wengine tulikuwa tunaenda msibani tumeshachelewa, wengine wana biashara zao na zimeshabumba muda huu.
Nadhani ndo madhara ya kukosa ushindani kwenye biashara.
Yaani (Monopolist) aliyeiondoa fast jet Mungu anamuona.
Kuna daraja limevunjika liko linatengenezwa.Huwezi kuamini tupo uwanja wa ndege tangu asubuhi tunasubiri ndege ya ATCL mpaka sasa ilikuwa tuondoke saa tano asubuhi wakasogeza mpaka saa tisa now wanasema mpaka tena saa kumi na mbili.
Watu wapo na watoto wanaliaa, wengine tulikuwa tunaenda msibani tumeshachelewa, wengine wana biashara zao na zimeshabumba muda huu.
Nadhani ndo madhara ya kukosa ushindani kwenye biashara.
Yaani (Monopolist) aliyeiondoa fast jet Mungu anamuona.
Lisipokuwapo unashika mabango kwa nini hatuna ndege....Ukweli ni kwamba hatuko makini, kwa nini shirika kama hili liendelee kuwepo wakati ni liability kwa taifa.
Nchi za kiafrika haziwezi kuendesha shirika la ndege kwa faida lazima watataka wapatiwe tu ruzuku na serikali uzoefu unaonyesha wazi hilo.
..haitasaidia.
..mashirika ya ndege kwa nchi za "uchumi wa kati wa chini" ni hasara tupu.
Hapa naona lawama tu ila mtoa mada hajasema hilo tatizo limetokea lini na hiyo ndege inatoka wapi na inakwenda wapi?Poleni sana, natumae mlipata miongozo...
AnawakomoaAdui mkubwa wa uchumi na ustawi wa Taifa letu, kwa matendo alikuwa ni marehemu, lakini kwa maneno aliwahadaa wajinga, kuwa anajenga uchumi.
Fastjet toka Mwanza - Dar kulikuwa na ticket mpaka za sh 80,000 return. Alipowafukuza Fastjest, ATCL tocket toka Mwanza mpaka Dar sh 300,000 - sh 600,000. Hivi kwenye mazingira hayo, marehemu alikuwa anawapenda watanzania au alikuwa anawakomoa?
Ukweli ni kwamba hatuko makini, kwa nini shirika kama hili liendelee kuwepo wakati ni liability kwa taifa.
Nchi za kiafrika haziwezi kuendesha shirika la ndege kwa faida lazima watataka wapatiwe tu ruzuku na serikali uzoefu unaonyesha wazi hilo.
😁Dah! Ila watu mna hela!! Yaani mnalalamikia kuchelewa kupanda ndege ambayo mimi naiona tu kila siku ikipita angani kutokana na kushindwa kuhimili nauli yake!
Kweli maisha hayana usawa!!🙄
Tatizo, ni ndege za ATC kuwa za Viongozi kutembelea. Imagine Rais akisafiri anakwenda na Ndege ya ATC, Waziri Mkuu na Makamu vilevile.... Kwa hiyo ndege zikitumika kwenye safari za kiserikali lazima kuna route zitaathirika. Yrpi za Dar - Dom zimekufa nyingi mno.Kuna umuhimu wa kuifumua Board na Management ya ATCL haraka iwezekanavyo kabla serikali haijaingiza fedha nyingine za walipa kodi humo!
Tatizo mama ameamua usafiri wake ndege za air tanzania halafu haishi safari za dom - dar dar - dom. Ndege ya rais hataki tena. Yaani hayuko kiuchumi at all atc anawavuruga ratiba.Ratiba zote zimevurugika, kuna mtu yuko airport tokea saa kumi alfajiri hadi sasa haijulikani ndege itaondoka saa ngapi dana dana zinaendelea.
Tatizo mama ameamua usafiri wake ndege za air tanzania halafu haishi safari za dom - dar dar - dom. Ndege ya rais hataki tena. Yaani hayuko kiuchumi at all atc anawavuruga ratiba.