Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Wangeanza na hii smartfone yangu au?Ungesema uko uwanja gani/ mkoa gani angalau wadau wangepata pakuanzia
Ahahahahah mwambieThere is no hurry in Africa, relax !
Hahaha. Kwamba aendelee kupata sharubati(juice) hapo airport lounge sio?There is no hurry in Africa, relax!