Rais Samia hivi ndivyo ATCL wanavyokuza uchumi wakati tukisubiri Katiba Mpya?

Kuna umuhimu wa kuifumua Board na Management ya ATCL haraka iwezekanavyo kabla serikali haijaingiza fedha nyingine za walipa kodi humo!!!

..haitasaidia.

..mashirika ya ndege kwa nchi za "uchumi wa kati wa chini" ni hasara tupu.
 
Hahaha..kwamba aendelee kupata sharubati(juice) hapo airport lounge sio?
Bila shaka huku akiangalia ile chaneli yetu pendwa ya utalii au TBC na kutafuna korosho🤣
 
mimi nimekata ticket ya abood waliotoka dar dom tumefika pa oja, sasa nakunywa bia ananichungulia ujanja sio kuaahi bali kufika
 
Shujaa mwenda zake😅😅😅
 
Kuna daraja limevunjika liko linatengenezwa.
 
Ukweli ni kwamba hatuko makini, kwa nini shirika kama hili liendelee kuwepo wakati ni liability kwa taifa.

Nchi za kiafrika haziwezi kuendesha shirika la ndege kwa faida lazima watataka wapatiwe tu ruzuku na serikali uzoefu unaonyesha wazi hilo.
Lisipokuwapo unashika mabango kwa nini hatuna ndege....
 
..haitasaidia.

..mashirika ya ndege kwa nchi za "uchumi wa kati wa chini" ni hasara tupu.

Kweli haitasaidia kama tunavyotegemea lakini hata hivyo itasaidia kwa kupunguza hasara shirika inayoendelea kupata!!! Hatuwezi kuendelea business as usual kwani tutaumia sana.
 
Kuna uzi humu kwamba ndege moja amechukua JK yupo kwenye msiba wa Kaunda, nyingine anayo Mpango huko Paris na Airbus nyingine anayo sSamia Dodoma. Kama ni kweli ratiba lazima iwe disrupted
 
Adui mkubwa wa uchumi na ustawi wa Taifa letu, kwa matendo alikuwa ni marehemu, lakini kwa maneno aliwahadaa wajinga, kuwa anajenga uchumi.

Fastjet toka Mwanza - Dar kulikuwa na ticket mpaka za sh 80,000 return. Alipowafukuza Fastjest, ATCL tocket toka Mwanza mpaka Dar sh 300,000 - sh 600,000. Hivi kwenye mazingira hayo, marehemu alikuwa anawapenda watanzania au alikuwa anawakomoa?
 
Poleni sana, natumae mlipata miongozo...
 
Anawakomoa
 
Ukweli ni kwamba hatuko makini, kwa nini shirika kama hili liendelee kuwepo wakati ni liability kwa taifa.

Nchi za kiafrika haziwezi kuendesha shirika la ndege kwa faida lazima watataka wapatiwe tu ruzuku na serikali uzoefu unaonyesha wazi hilo.

Uko sahihi kabisa. Sababu za kufufuliwa ATCL zilikuwa si za kiuchumi. Ni sa kutafuta sifa na hadaa za kisiasa. Kama ilikuwa ni kupanua uwigo wa usafirisha, ni bora kungekuwa na freeways, speedtrains. Business models nyingi za serikali za kiafrika zina ufanisi wa chini kupindukia!! Ingetisha sana kutuonesha hatuwezi kuanzia miradi ya mashamba ya mazao na mifugo ya serikali ilivoshindwa. Kama hauwezi hata kufuga ng’ombe, hatuwezi kusindika nyama, hatuwezi DART, hatuwezi kuzalisha chuma - tutawezaje ndege??
 
Kuna umuhimu wa kuifumua Board na Management ya ATCL haraka iwezekanavyo kabla serikali haijaingiza fedha nyingine za walipa kodi humo!
Tatizo, ni ndege za ATC kuwa za Viongozi kutembelea. Imagine Rais akisafiri anakwenda na Ndege ya ATC, Waziri Mkuu na Makamu vilevile.... Kwa hiyo ndege zikitumika kwenye safari za kiserikali lazima kuna route zitaathirika. Yrpi za Dar - Dom zimekufa nyingi mno.
 
Ratiba zote zimevurugika, kuna mtu yuko airport tokea saa kumi alfajiri hadi sasa haijulikani ndege itaondoka saa ngapi dana dana zinaendelea.
Tatizo mama ameamua usafiri wake ndege za air tanzania halafu haishi safari za dom - dar dar - dom. Ndege ya rais hataki tena. Yaani hayuko kiuchumi at all atc anawavuruga ratiba.
 
Tatizo mama ameamua usafiri wake ndege za air tanzania halafu haishi safari za dom - dar dar - dom. Ndege ya rais hataki tena. Yaani hayuko kiuchumi at all atc anawavuruga ratiba.

Vurugu tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…