Adui mkubwa wa uchumi na ustawi wa Taifa letu, kwa matendo alikuwa ni marehemu, lakini kwa maneno aliwahadaa wajinga, kuwa anajenga uchumi.
Fastjet toka Mwanza - Dar kulikuwa na ticket mpaka za sh 80,000 return. Alipowafukuza Fastjest, ATCL tocket toka Mwanza mpaka Dar sh 300,000 - sh 600,000. Hivi kwenye mazingira hayo, marehemu alikuwa anawapenda watanzania au alikuwa anawakomoa?