Rais Samia: Huduma za mawasiliano zinazotolewa nchini zizingatie mila na tamaduni zetu Tanzania

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722

Rais Samia Suluhu Hassan amesema hayo leo, Aprili 10, 2026, alipokuwa akitoa maelekezo kwa Serikali katika hafla ya uzinduzi wa minara 758 pamoja na uunganishaji wa Mkongo wa Mawasiliano katika wilaya 85 ambapo ameelekeza kuwa serikali ihakikishe huduma ya mawasiliano inayotolewa nchini inazingatia maadili mila na tamaduni za watanzania kwa wasipodhibiti wataishia kuwa na kizazi kisichokuwa na maadili na uzalendo kwa taifa.
 
MILA NA DESTURI ZA KUUA WATU 10,000 OR ABOVE.........................
 
Ujue Kiongozi mkubwa kama rais kutokujua dola na thamani yake Kwa nchi zetu hizi zinazofanya manunuzi Kwa dola Kuna shida.
Mfano zile baiskeli za Samia labda aliambiwa Kila baiskeli Moja ni dola 120,000 🤔
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hayo leo, Aprili 10, 2026, alipokuwa akitoa maelekezo kwa Serikali katika hafla ya uzinduzi wa minara 758 pamoja na uunganishaji wa Mkongo wa Mawasiliano katika wilaya 85 ambapo ameelekeza kuwa serikali ihakikishe huduma ya mawasiliano inayotolewa nchini inazingatia maadili mila na tamaduni za watanzania kwa wasipodhibiti wataishia kuwa na kizazi kisichokuwa na maadili na uzalendo kwa taifa.
Jamani AI ipo katika Kiswahili siku nyingi!
 
Back
Top Bottom