POLISI WANASHUGHULIKA NA CHADEMA TURais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema huenda makosa yamepungua Polisi Watanzania hawaendi Vituoni kuripoti kwasababu wamekata tamaa kutokana na kutopata Haki zao...
Per diem haziliwi hivyoMimi nilijua baada ya kutoka Zambia, kaunganisha DRC!!
Ilinikuta iyo acha tuUkienda polisi kuripoti siku hizi lazima uwe na pesa mfukoni, kama hauna hautasikilizwa, na mbaya wako akifika polisi na pesa mfukoni yeye ataachiwa halafu wewe mshtaki ubaki ndani uje kutolewa na ndugu au rafiki zako, polisi wetu kumuita mtu gaidi siku hizi ni suala la sekunde tu.
Dah....kama kuna kitu kinapikwa....Sea Row akae mguu Sawa π€Anaenda hatua moja mbele anarudi 3 nyuma.
Akiamka vizuri anafanya vizuri, kesho anavurunda [emoji28]
Makosa yanayofanywa na Polisi si kwamba hayajulikani na si kwamba hata rais hayajui, isipokuwa ni kwa sababu wanasiasa wameamua kuwatumia kwa maslahi binafsi hivyo wanawaacha makusudi wafanye wapendavyo.Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema huenda makosa yamepungua Polisi Watanzania hawaendi Vituoni kuripoti kwasababu wamekata tamaa kutokana na kutopata Haki zao.
Ameeleza hayo leo Jijini Dar es Salaam katika ufunguzi wa Kikao Kazi cha Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa/Vikosi.
Amesema sababu nyingine ambayo inaweza kupelekea Kesi kupungua ni umbali wa Vituo vya Polisi ambao hupelekea watu kumalizana pasipo kufika Vituoni, na wakati mwingine husababisha wachukue #Sheria mikononi.
KweliMakosa yanayofanywa na Polisi si kwamba hayajulikani na si kwamba hata rais hayajui, isipokuwa ni kwa sababu wanasiasa wameamua kuwatumia kwa maslahi binafsi hivyo wanawaacha makusudi wafanye wapendavyo.
Hata likifumuliwa kusukwa upya hakutakuwa na Polisi mpya asiye na tabia hizi za wote labda waagizwe kutoka nje ya Tanzania!