Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
LISU ANA KOSA GANIRais Samia amesema "Huko mahabusu huko kuna mtu anafungwa kwa kesi ya kubambikiwa tu sasa 'engineering' gani imetumika Mahakamani mpaka mtu akaenda jela kwa kesi ya kubambikiwa, akitoka anasema mimi sikuwa na kesi nilibambikiwa tu lakini nimekaa nimetoka, sasa wewe uliyepeleka ukamnyima mtu uhuru wake ukaenda ukamfanya afungiwe kule jipime una jukumu gani katika hilo...."
Huyu samuya ni tahiraLISU ANA KOSA GANI
Hizi hutuba huwa anasoma kabla au anakutana nazoHuyu samuya ni tahira
Anakutana nazo tu, kama angesoma mapema Hiyo sehemu angeiruka.Hizi hutuba huwa anasoma kabla au anakutana nazo
Kamuweka yeye au mahakama?Samuya hawezi zungumzia haki
Mtu amemweka Lissu gerezani mwaka mzima bila hatia.
Mtu ameiba uchaguzi
Mtu ameteka na kuuwa watu
Kwa maagizo yake na genge lake.Kamuweka yeye au mahakama?
Hujui kuwa yeye ndo mkuu wa mihimili yoteKamuweka yeye au mahakama?
Jaji mkuu kwani kasoma madrasa? Si kasoma Sunday school?Hujui kuwa yeye ndo mkuu wa mihimili yote
Yeye ndo anawateua hao majaji na kuwaamuru kutesa Watanganyika.
Au huko madrasat Huwa mnasomea judo na ugaidi tu, mbona unakosa logic ndogo
Mkuu wao hujui kapita madrasat na kupata course ya judo na ugaidiJaji mkuu kwani kasoma madrasa? Si kasoma Sunday school?
Lissu hataki kuachiwa...ugali wa jela mtamu!LISU ANA KOSA GANI