Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,269
- 58,563
Uchaguzi umeshapita na wameshinda kwa asilimia 98. Ya nini kuendelea kumshikilia TUNDU LISSU?
Huu utawala una mambo ya ajabu sana. Sijui hata kama wana amani ya mioyo yao.
Huyo Mungu mwenyewe ni muumba wa kila kitu na uwezo wa kutuondolea uhai wetu. Lakini mbona anaheshimu I demokrasia?
Yaani kuna mambo ukiyawaza sana unaishia kujiambia hawa wanaotawala wana mioyo ya nyama kama binadamu wengine?