ICC watampa haki yakeSamuya hawezi zungumzia haki
Mtu amemweka Lissu gerezani mwaka mzima bila hatia.
Mtu ameiba uchaguzi
Mtu ameteka na kuuwa watu
Ktk mikumbi ya makanisa picha si ipo ukiingia tu unaiona?Mkuu wao hujui kapita madrasat na kupata course ya judo na ugaidi
Lissu no.1Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma.
"Huko mahabusu huko kuna mtu anafungwa kwa kesi ya kubambikiwa tu sasa 'engineering' gani imetumika Mahakamani mpaka mtu akaenda jela kwa kesi ya kubambikiwa, akitoka anasema mimi sikuwa na kesi nilibambikiwa tu lakini nimekaa nimetoka, sasa wewe uliyepeleka ukamnyima mtu uhuru wake ukaenda ukamfanya afungiwe kule jipime una jukumu gani katika hilo...."
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma.
"Huko mahabusu huko kuna mtu anafungwa kwa kesi ya kubambikiwa tu sasa 'engineering' gani imetumika Mahakamani mpaka mtu akaenda jela kwa kesi ya kubambikiwa, akitoka anasema mimi sikuwa na kesi nilibambikiwa tu lakini nimekaa nimetoka, sasa wewe uliyepeleka ukamnyima mtu uhuru wake ukaenda ukamfanya afungiwe kule jipime una jukumu gani katika hilo...."
Na Kuna majaji wamesomeshwa Kwa Kodi zetu wamekaa wanamsikliza kabisaRais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma.
"Huko mahabusu huko kuna mtu anafungwa kwa kesi ya kubambikiwa tu sasa 'engineering' gani imetumika Mahakamani mpaka mtu akaenda jela kwa kesi ya kubambikiwa, akitoka anasema mimi sikuwa na kesi nilibambikiwa tu lakini nimekaa nimetoka, sasa wewe uliyepeleka ukamnyima mtu uhuru wake ukaenda ukamfanya afungiwe kule jipime una jukumu gani katika hilo...."
Wanasiasa wakukwambia kumepambazuka. Toka nje kwanza ukajiridhishe.Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma.
"Huko mahabusu huko kuna mtu anafungwa kwa kesi ya kubambikiwa tu sasa 'engineering' gani imetumika Mahakamani mpaka mtu akaenda jela kwa kesi ya kubambikiwa, akitoka anasema mimi sikuwa na kesi nilibambikiwa tu lakini nimekaa nimetoka, sasa wewe uliyepeleka ukamnyima mtu uhuru wake ukaenda ukamfanya afungiwe kule jipime una jukumu gani katika hilo...."
Yeye mwenyewe amesahau kuwa hapo alipo hastahiri kuwepo?Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma.
"Huko mahabusu huko kuna mtu anafungwa kwa kesi ya kubambikiwa tu sasa 'engineering' gani imetumika Mahakamani mpaka mtu akaenda jela kwa kesi ya kubambikiwa, akitoka anasema mimi sikuwa na kesi nilibambikiwa tu lakini nimekaa nimetoka, sasa wewe uliyepeleka ukamnyima mtu uhuru wake ukaenda ukamfanya afungiwe kule jipime una jukumu gani katika hilo...."
Mkuu 'Odhiambo', kuna "wanasiasa", na kuna "walaghai". Huyu siyo mwanasiasa.Wanasiasa wakukwambia kumepambazuka. Toka nje kwanza ukajiridhishe.
Faki the fazafaka! Yeye si ndiye amemueka Lissu mahabusu kwa kesi ya mchongo?Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma.
"Huko mahabusu huko kuna mtu anafungwa kwa kesi ya kubambikiwa tu sasa 'engineering' gani imetumika Mahakamani mpaka mtu akaenda jela kwa kesi ya kubambikiwa, akitoka anasema mimi sikuwa na kesi nilibambikiwa tu lakini nimekaa nimetoka, sasa wewe uliyepeleka ukamnyima mtu uhuru wake ukaenda ukamfanya afungiwe kule jipime una jukumu gani katika hilo...."
sote tunajua kuwa alimuweka yeye huko mahabusu.Kamuweka yeye au mahakama?
Majaji ndo matahira. Samuya hana shida kwenye hili. Haonekani popote kizimbani.Huyu samuya ni tahira